Series (Special thread)

Series (Special thread)

Natumia simu kudownload then nazihamishia kwenye pc
kuna manual way na automatic way

kama unatumia manual
utaidrag iyo subtitle episode husika na kuiweka kwenye media player yako huku movie yako umesha iplay(na suggest VLC media player)

ila njia hii sometime inaweza ikafanya subtitle na movie yako vipishane kidogo japo kuna sehemu ya kusynchronize ila ni usumbufu flani (njia hii rahisi lakini na ya fasta)

njia ya pili ya automaic synchronization

hii pia inaweza kukusaidia hata ukiweka series yako kwenye flash then ukatumia tv yako kuchek movie na subtitle itatokea yenyewe

1step : zi copy/cut and paste hizo subtitle ulizodownload kwenye kwnye folder/file husika yaani folder lenye hizo episode

2step: rename subtitle zako

nenda episode ya kwanza copy jina lake then nenda kwenye subtitle yake(yaani subtitle ya episode ya kwanza) then rename jina la subtitle kwa kupaste jina ulilocopy kutoka kwenye movie yako(episode ya kwanza)

so kwa mfano kama jina la movie ama episode yako ni Last ship s01e01 basi subtitle yako itasomeka Last ship s01e01.srt

utafanya hivyo(ku rename) kwa episode zote na utakapomaliza zitakua zimejipanga kwa order yaani episode ya kwanza chini yake subtitle yake ,episode ya pili chini yake subtitle yake and so on

ukishamaliza utaplay tu episode zako na subtitle zitatokea zenyewe

ukikwama sehemu tupe feedback
 
Shukrani sana mkuu...ngoja nijaribu
 
mkuu bonge moja la series prison break hakuna na haito kuja kutokea series kma prison break ni series ambayo mtu wa aina yeyote yule anaweza
kuicheki nime download almost season 1 paka 5 ambazo kila ep 1 HD QUALITY anaetaka na series zinginezo kali anicheki umo kwa whatsapp 0657586916
Naomba niulizie unauza au unagawa bure kabla hatujaenda huko wasapu
 
Jamani nilikuwa natumia extra torrent kupakua vitu. Lakini imegoma sasa. Msaada tafadhali
 
kuna manual way na automatic way

kama unatumia manual
utaidrag iyo subtitle episode husika na kuiweka kwenye media player yako huku movie yako umesha iplay(na suggest VLC media player)

ila njia hii sometime inaweza ikafanya subtitle na movie yako vipishane kidogo japo kuna sehemu ya kusynchronize ila ni usumbufu flani (njia hii rahisi lakini na ya fasta)

njia ya pili ya automaic synchronization

hii pia inaweza kukusaidia hata ukiweka series yako kwenye flash then ukatumia tv yako kuchek movie na subtitle itatokea yenyewe

1step : zi copy/cut and paste hizo subtitle ulizodownload kwenye kwnye folder/file husika yaani folder lenye hizo episode

2step: rename subtitle zako

nenda episode ya kwanza copy jina lake then nenda kwenye subtitle yake(yaani subtitle ya episode ya kwanza) then rename jina la subtitle kwa kupaste jina ulilocopy kutoka kwenye movie yako(episode ya kwanza)

so kwa mfano kama jina la movie ama episode yako ni Last ship s01e01 basi subtitle yako itasomeka Last ship s01e01.srt

utafanya hivyo(ku rename) kwa episode zote na utakapomaliza zitakua zimejipanga kwa order yaani episode ya kwanza chini yake subtitle yake ,episode ya pili chini yake subtitle yake and so on

ukishamaliza utaplay tu episode zako na subtitle zitatokea zenyewe

ukikwama sehemu tupe feedback
Mkuu nimedownload subtitle nikaziextract baada ya hapo nikawa nazidrag kwenye episode husika
Sasa hivi niko naenjoy vitu mubashara kabisa
Shukrani sana chief na ubarikiwe

24ba43d415fe5b2b2f8b3a59c1df621d.jpg
 
Patterson akifikwa halafu app yake ikahusika lazima amfste mtunza siri wake Rich.com anachoniboa kujitia shoga...
Mwenyewe ndio ananiboa hapo tuu ila ingekua frsh kama angedate na Patterson..... Anamfata rich amsaidie kumpa idea... Rich alinichosha pale tu alipo wahack wote.... Ile wanataka wamdrag in Hirst rich akawa ana log in kwenye account zao bila hata kuomba access code had Patterson akachoka
 
Aisee nampenda Patterson,Hawezi mdate mtu mfupi kama rich dot com.
Blindspot wananipa arosto kishenzi yaani. Wako break mpaka mwezi march
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom