Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
nimecheka sana aiseeeee. Sio kwa jibu hiliNahisi kapewa kwa sababu ya experience maana ni mhenga toka enzi za harry potter
nimecheka sana aiseeeee. Sio kwa jibu hiliNahisi kapewa kwa sababu ya experience maana ni mhenga toka enzi za harry potter
Job alikuwa anatafutwa sana na fbi ilibidi ajifanye shoga ili asijulikane
Kuna siriz ya Banshee kuna shoga mule ameonesha utofaut
Ya intelligence au maana ndio mambo ninayopenda hayoCounterpart mpya nayo ni nzuri
Season 2nimecheka sana aiseeeee. Sio kwa jibu hili
Chukua the brave hutajutiaNaomba series za kijasusi zenye maudhui kama ya 24, homeland, prison break etc,. Natanguliza shukrani.
Shukran mkuuChukua the brave hutajutia
Sijajua kama wamepata order ya season 2,hata chanzo changu cha habari hakijapata badoSeason 2
The brave inaanza lini?

Itabidi tumuulize..
Huyo mama akiwa bosi wako funga kibwebwe,wenzetu wanapoigiza wanaigiza kiuhalisia haswaaa,Itabidi tumuulize..
Yupo katika series ya aftermath huyu..anapenda harakati huyu mama. Nzuri tho,sema ilibore iliisha vibaya
Isije ukapotea kama sixSijajua kama wamepata order ya season 2,hata chanzo changu cha habari hakijapata bado![]()
![]()
![]()
![]()
Kuna baadhi ya shows huwa zinazuiwa kutokana na maslah ya nchi.![]()
Kuna punisher ..
Nayo ni kalii kinoma
Six mi sijawahi ielewa.Isije ukapotea kama six