Maxmizer
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 4,799
- 4,230
hii SIX nayo nimeanza kuilewaItafute series inaitwa SIX ukiipata nambie
hii SIX nayo nimeanza kuilewaItafute series inaitwa SIX ukiipata nambie
inahusu mambo gan,intelligence au drama tuDARK ni bonge la mzigo *****
Haya mambo nilijua yapo bongo tuu, kumbe hadi mbele.Yaani scandal yao kule ni hivo kutongoza tongoza ovyo actresses kisa wao waongozaji au wana nyadhifa fulani kwenye kampuni inayoshoot filamu. So,sio wote waliobaka..wengine tongoza tongoza huku wakitishia kama watakataliwa kuendana na nafasi zao,watawatimua.
Kana sura kavuNikajua kuna kingine. Kweli ka Sarah kabaya,yaani hakajapendeza na alicho ki act.
, ila hii series imepondwa sana, CBS walibaki kidogo waibanie ata kumalizia S01.Aah kabisa the brave inasubiri sana last ship ni hatari aisee kuna mishen za hatari sanaHa ha ha ha...check na the last ship.
Maaamaa the brave inasubiri kwanza.
Mkuu hii dark iliyotoka juz au ingne??DARK ni bonge la mzigo *****
Hii series mbona kama ni copy ya series 1 hiv nimeisahahau jinaKuna mzigo mpya kutoka Netflix unaitwa Altered Carbon ipo vizuri
![]()
Kama ni dark iliyotoka juz ni horrorinahusu mambo gan,intelligence au drama tu
Pamoja XOAah kabisa the brave inasubiri sana last ship ni hatari aisee kuna mishen za hatari sana
Sio siri mi sikumpenda huyo Sarah,seems wasichana warembo wameisha huko HollywoodKana sura kavu, ila hii series imepondwa sana, CBS walibaki kidogo waibanie ata kumalizia S01.
Nahisi kapewa kwa sababu ya experience maana ni mhenga toka enzi za harry potterSio siri mi sikumpenda huyo Sarah,seems wasichana warembo wameisha huko Hollywood
Hzi safar za dodoma zimekua nying ila sasa nipo sana,nafurah kuwakuta tena japo naona kama kuna watu waliyaka kuingiza mambo yao na iman zao mkampa za uso ha ha haTupo mbona umepotea sana??
Ipo english yake chek 02Mkuu mbona naona kijerumani kitupu, kuna English version yake?
Disemba hiyo....HiyoMkuu hii dark iliyotoka juz au ingne??
Usijimalize!! Ushawahi kufikiria nini kinaweza kutokea pale a target anapoonekana kuwa ni shoga?! Your Deep Cover Operative Dude itabidi awe Basha wa muda!!!Shoga hawezi kuwa jasusi asee c atakuwa anajinyea tu katikati ya missions
1337x.toTupen Bas na ss site za series Kali Kali tuwe tunaamgalia