Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hii wisdom of the crowd mbona kama wameiba story ya APB
Hapana...japokuwa zinafanana kwamba unatoa taarifa,lakini ukitazama wisdom ni kwamba aliiunda ili Ku solve mauaji ya mwanae. APB was for crime tu.
I heard Wisdom wamei cancell eti.. APB ilikuwa moto,wakai cancel na yenyewe. Mxiuuuu zao
 
APB pia aliiunda kusolve mauaji ya bestfriend wake kusolve crime kukaja baadae, zote tamu sijui kwanini wamezicancel .
 
APB pia aliiunda kusolve mauaji ya bestfriend wake kusolve crime kukaja baadae, zote tamu sijui kwanini wamezicancel .
Hapana,APB aliianzisha baada ya kupiga 911 wakachelewa kufika eneo la tukio mpaka rafiki yake akafariki. Ndio akaamua ahamishie technology industry yake ili watu waweze kupata taarifa na msaada wa haraka linapotokea tatizo,crime particularly.
Wanakera kweli yaani juzi cancel.
 
Lakini naskia hii wisdom wameicancel kisa ratings ndogo na pia uyo Tanner alikua anaforce mapenzi na maactress.
 
Sasa na yeye ni bwege anashindwa kutongoza, analazimisha mwishowe anatukosesha utamu wa series.
Yaani scandal yao kule ni hivo kutongoza tongoza ovyo actresses kisa wao waongozaji au wana nyadhifa fulani kwenye kampuni inayoshoot filamu. So,sio wote waliobaka..wengine tongoza tongoza huku wakitishia kama watakataliwa kuendana na nafasi zao,watawatimua.
 
My young bro usiku wa kuamkia leo amenambia alipokuwa field mikoani kuna bint alidate nae,
Lakini kila aliponieleza,mimi akili haikunikaa sawa,mwishon nikamwambia huyo binti ni "mtunwa kitengo"
1.Walikutana lodge,bint amepanga na yeye dogo kapanga.Dogo aliporusha ndoano akawa analala chumba cha binti kwa siku 4.Kwa siku zote hizo bint amelipia chumba
2.Asbuh bint anapotoka anamwambia dogo unitafute usiku tu mchana nakua kazini na bosi mkali sana
3.Bint anasema anafanya kazi maliasili,ofisi zipo City Center "Posta" lakini baada ya kumdodosa dogo nikagundua alielekezwa maeneo ya Lumumba Dar
4.Bint anasema ana shahada ila hajui kiingereza na amesomea Uganda
5.Binti ana majina mengi sana,
6.Alikuwa na shost wake ila hakutaka kukutana na dogo kwa namna yeyote
7.Siku aloondoka mji hule bint hakuaga alimwamboa dogo nshaondoka tutakutana Jijini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom