Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
Wanaweka sura ya kazi kabisa..hawa bahatishi aiseeHuyo mama akiwa bosi wako funga kibwebwe,wenzetu wanapoigiza wanaigiza kiuhalisia haswaaa,
Hawabahatish
Wanaweka sura ya kazi kabisa..hawa bahatishi aiseeHuyo mama akiwa bosi wako funga kibwebwe,wenzetu wanapoigiza wanaigiza kiuhalisia haswaaa,
Hawabahatish
Huwez kuniangalizisha Bongo Movie hata kidogo.Wanaweka sura ya kazi kabisa..hawa bahatishi aisee
Sina hata mood nao aisee. Bongo movie wamentoka rohoniHuwez kuniangalizisha Bongo Movie hata kidogo.
Wacha niendelee kusapot kazi za WASANII.
Siwez kuwasapot WAIGIZAJI WA WASANII.
Bongo movie labda kwenye basi la mkoani
Hata mitaani hao layman wapo busy na "SEASON"Sina hata mood nao aisee. Bongo movie wamentoka rohoni
HahahahahahaHata mitaani hao layman wapo busy na "SEASON"
Wenyewe hawait series wanaita SEASON hasa za kikorea ambazo zimetafsiriwa,sasa ukishapoteza soko la USWAHILINI huwez pata la middle class
Tena zina tamkwa sizoni..Hata mitaani hao layman wapo busy na "SEASON"
Wenyewe hawait series wanaita SEASON hasa za kikorea ambazo zimetafsiriwa,sasa ukishapoteza soko la USWAHILINI huwez pata la middle class
Tena zina tamkwa sizoni..
Mimi six niliielewa sana..Six mi sijawahi ielewa.
Jana strike back imeendelea episode 07 ya season 6Mimi six niliielewa sana..
Ambayo ilipita kushoto ni strike back.. yan ile system ya kila episode kuwa na mission yake huwa siipendi sana
Ilipofika season ya 4 tu nikaipiga chini.. sasa hivi nipo na vikings, blind spot na za kikoreaJana strike back imeendelea episode 07 ya season 6
Poleeeeeee aitheeeeMimi six niliielewa sana..
Ambayo ilipita kushoto ni strike back.. yan ile system ya kila episode kuwa na mission yake huwa siipendi sana
Sizoni kila kona hadi kwa wamachinga
Sizoni is killing Bongo muviSizoni kila kona hadi kwa wamachinga
Sizoni ziko juu bana acha tu ziue bongo movie mie nakubali. Sizoni juuSizoni is killing Bongo muvi
Sizoni ziko juu bana acha tu ziue bongo movie mie nakubali. Sizoni juu

View attachment 692601
Eeeenh,si zinaua vipaj vya akina Uwoya sasa?

mie kwangu kheri vife tyuuu. Maana ni wanauza sura hakuna lingine.kuna watu bado wanaangalia bongo movie kweli![]()
![]()

Na kweli hii system ya kila episode tofauti inaboa sana, kunakua hamna stori ya kufatilia, yaani episode ikiisha hutamani kuangalia the next one.Mimi six niliielewa sana..
Ambayo ilipita kushoto ni strike back.. yan ile system ya kila episode kuwa na mission yake huwa siipendi sana