Series (Special thread)

Series (Special thread)

Roman jamaa lina akili, yaani vitu vinatokea sasa hivi yeye alishavipanga akavipiga tatoo kwa dadaake. Sema nao s03 kama wanarudia stori zilezile za mkubwa wao anakua traitor alafu wanamuondoa.
Mama.e zake msen.g.e clem, yaan saivi ndio anajilia jane doe kirahisi hivyo?
 
Roman jamaa lina akili, yaani vitu vinatokea sasa hivi yeye alishavipanga akavipiga tatoo kwa dadaake. Sema nao s03 kama wanarudia stori zilezile za mkubwa wao anakua traitor alafu wanamuondoa.
Weller imekula kwake
 
mkuu bonge moja la series prison break hakuna na haito kuja kutokea series kma prison break ni series ambayo mtu wa aina yeyote yule anaweza
kuicheki nime download almost season 1 paka 5 ambazo kila ep 1 HD QUALITY anaetaka na series zinginezo kali anicheki umo kwa whatsapp 0657586916
 
Kuna Serie inaitwa Into the Badland inaa kichapooo hatarii...!!
into the badlands naelewa sana iyo series kuna dogo wakuitwa MK pia baba yao queen atari sana boi zote nazo izo pumbu kali ambazo zina trend dunia nzima
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Kama kuna series kali kuliko the Brave au inayofanana na the Brave naomba nitajiwe wajameni..

N:B iwe Kali kuliko au inayofanana na The brave Wakuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom