Series (Special thread)

Series (Special thread)

Tena kama ndio pendapenda unaletewa mdada mtamu balaa
My young bro usiku wa kuamkia leo amenambia alipokuwa field mikoani kuna bint alidate nae,
Lakini kila aliponieleza,mimi akili haikunikaa sawa,mwishon nikamwambia huyo binti ni "mtunwa kitengo"
1.Walikutana lodge,bint amepanga na yeye dogo kapanga.Dogo aliporusha ndoano akawa analala chumba cha binti kwa siku 4.Kwa siku zote hizo bint amelipia chumba
2.Asbuh bint anapotoka anamwambia dogo unitafute usiku tu mchana nakua kazini na bosi mkali sana
3.Bint anasema anafanya kazi maliasili,ofisi zipo City Center "Posta" lakini baada ya kumdodosa dogo nikagundua alielekezwa maeneo ya Lumumba Dar
4.Bint anasema ana shahada ila hajui kiingereza na amesomea Uganda
5.Binti ana majina mengi sana,
6.Alikuwa na shost wake ila hakutaka kukutana na dogo kwa namna yeyote
7.Siku aloondoka mji hule bint hakuaga alimwamboa dogo nshaondoka tutakutana Jijini.
 
Kama kuna series kali kuliko the Brave au inayofanana na the Brave naomba nitajiwe wajameni..

N:B iwe Kali kuliko au inayofanana na The brave Wakuu
Ipo ya muda kidogo inaitwa Banshee
 
Kuna mzigo mpya kutoka Netflix unaitwa Altered Carbon ipo vizuri
25f961e94a4ec8b64fb966093ba8d81a.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom