Series (Special thread)

Series (Special thread)

HAloooo bandugu...kuna series yakuitwa wisdom of the crowd. Aisee nimeikubali

Cc espy
Nimetoka kucheki trailer lake YouTube sasa hivi, ni type yangu kabisa hii nitaipakua, shukrani Mase mwenye rati zake kwa kusaidia kushare.
 
Nimetoka kucheki trailer lake YouTube sasa hivi, ni type yangu kabisa hii nitaipakua, shukrani Mase mwenye rati zake kwa kusaidia kushare.
Yaani,nimeianza episode one,i know in some sort of uongo kidogo lakini. And nimeipenda zidi story. Naendelea kupakua,njema zaidi mzigo mzima wa s01 upo kamili.
 
Yaani,nimeianza episode one,i know in some sort of uongo kidogo lakini. And nimeipenda zidi story. Naendelea kupakua,njema zaidi mzigo mzima wa s01 upo kamili.
Genre gani hiyo series
 
Wahenga walisema kizuri share na wenzio, kama wapenda series na movie nawashauri muangalie hii series SABURRA.

Kama mtuu ulivutiwa na Narcos basi hii pia utaipenda zaidi sema hii imeigizwa kwa kitaliano Kuna umafia wa hali ya juu na watu wa Kama akina Pablo Escobar, cartels na agent PENA humu.

Kama kwenye Narcos tuliaanza kuelewa kispanish mjiandae pia na humu kufahamu kitaliano.

5f3c4db7bb33dc34c1c4cdd5e5a81bc9.jpg
link please
 
Mm sizijui..

Nilikuta tu CD ya seaso 3 24hr mm nikapitia tuu..

Ilikua wakina Jack Baur,Tony almeida,Chase edmunds,Michelle,Chloe, Adam wanapambana na Isue ya Viruses sasa sijui hata season 4 inafata nn na hiyo Legacy inaanza namba ngapi..?

Nipe hata highlight
Ni 24 hrs hiyo
 
Game of throne - wale night walker wamepata dragon sasa utamu wa movie nadhani unakaribia kuisha
 
Nimepata rumours za prison break season 6
Nimeona kwenye account ya Dominic Purcell ya insta vilevile kwenye account ya Wentworth Miller
Wadau nyie hamjaona au mnazungumziaje prison break season 6
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom