Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 90,347
- 178,811
Yaah ningekuwa nishaimaliza sema nilikuwa naivutia pumzi. Sema na hivi niko likizo nakosa muda mzuri wa kuitazama.Naamini ungekuwa ushaimaliza kitambo Gustavo,Tuco,jesse pinkman, walter aka ww henselberg ! hatari sana.