Series (Special thread)

Tiss(usalama wa taifa) huwa basic job Yao ni kumlinda rais wa JMT pamoja na kuhakikisha wanazuia mambo mabaya kabla hayajatokea(to prevent)vitu vibaya kabla havijatokea..(spy) kuspy vitu viovu..
Cia,fbi,seals,us marshals nk wenzetu wako na vyombo vingi sanaa vya usalama ambapo vpo ambavyo venyewe vinadeal na uchumi-kuhakikisha maadui hawaugusi na kuushusha kivyovyote...
But cia sio usalama wa taifa....
Usalama wao wa taifa ambao wanamlinda rais wanaitwa secret services as usual
Ok
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom