Series (Special thread)

Kila mtuu na ladha yake hilo ndio swala hapa nimeangalia series zaweza kua 30+,mambo ya ushamba yamekujaje hapa mbona nilikuambia tuu kistaarabu kwamba hii GOT ni the best nakushangaa tuu kwanini ilikushinda, ungesema tu labda unapenda series labda zenye mantiki ya Drama, romance, family, comedy,adventure, crime au horror sio tunaitana washamba dada angu.

Alafu kwa uchunguzi wangu ambao hauna verification, validation, clarification wala feasibility yeyote watu ambao huwaita watu wengine sifa mbaya basi huwa sifa hizo wanazo wao kwa mfano mtuu akimuita mwenzie Malaya, mchoyo, mshamba au mchawi basi huyo anaemuita mwenzie ndio anamiliki tabia hizo.

Hii ni list ya series nilizoangalia na ninazoendela kuangalia na character niliovutiwa katika kila series.

1. Game of thrones - Tyrion lannister
2. Breaking bad - Jesse Pinkman
4. Stranger things - Eleven( Season 2, inatoka October 28)

5. Narcos - Agent PENA
6. Mr. Robot - Elliot
7. Penny dreadful - Mr. Chandlier
8. Saleem - Mary siblings
9. Vampire diaries - Demon Salvatore
10. The originals - klaus maeklason
11. The revolution - General manroe
12. Arrow - Oliver Queen
13. The flash - Barry Allen
14. West world - Bernad Lowe

15. The 100 - ( Octavia girlfriend wake huyo lincorn ambae kwenye American gods ameact Kama Sunshine, pia mwaka huu Octavia alishiriki kwenye movie ya BAYWATCH akiwa na THE ROCK, ZACK na Muhindi yule wa QUANTICO, PRIYANKA CHOPRA)

16. American gods - Mr. Wednesday
17. Prison break - T- Bag
18. Marco Polo - Marco Polo
19. Da Vinci and Demons - Leonardo Da Vinci

20. House of cards - (Francis Underwood jina lake halisi Kevin spacey, mwaka huu amejumuika kwenye movie ya BABY DRIVER yupo na JERMIE FOXY HUMO)

21. Teen wolf - Scott McCall
22. Lost - Hugo ( Bonge)

23. Queen of South - ( Teresa Mendosa, Jana limetoka trailer la X-MEN MUTANT yumo humo ndani atakua na MASIE WILLIAMS jina maruufu la GOT ni ARYA STARK)

24. Power - Ghost
25. Vikings - Lagnar lothbroke ( season 5 inatoka November 29)

26. Rome - Ceaser
27. Spartacus - Spartacus
28. Sherlock Holmes - Sherlock
29. Blind spot - Jane, ( THOR: RAGNAROCK inakuja Cinema soon nimeona Trailer yake Hadi HULK yumo humo)

30. Banshee - Kai Proctor

31. Shannala Chronicles - Shannara

32. Ray Donovan - Ray mwenyewe mtu mbaya

Pia nina series ambazo zipo tuu kwenye external yangu hazinivutii kuangalia inshort kila nikizianza naona uvivu

1. Designated survivor
2. Agent shield
3. Pretty little liars ( Ntaifuta Leo Leo baadae kwa sababu alikua anaangalia Ex wangu)
4. Better call a Saul
5. Last ship
6. The Genius
7. El chapo
8. Ballers
9. The Sopranos
10. Once upon a time
11. Family Guy
12. Shameless
13. Lethal weapon
14. 24
15. Prison break: Resurrection
16. True detective

N.k Nyingi Sana hizo tuu ndio nimezikumbuka kutoka kichwani mwangu labda baada nikitulia nikuchambulie nyengine dada.

Pia hizi ndio series mpya za mwaka huu ambazo nimetingwa tuu na majukumu kwa sasa ila nitapotulia ndio target yangu.

1. Good doctor ( hi ipo Kama episode ya 4 hivi nitasubiri angalau ifike complete season)

2. Ozark - hii Nimeambiwa ni shida Kama ulipenda Breaking bad hii utaipenda pia.

3. Suburra - Nitaanza weekend hii inayokuja.
Kweli bab umeangalia nyingi sana, mie nna shida na hiyo vikings, kama upo dsm nielekeze niifate kama unayo yote kuanzia season 1
 
espy shoga angu Scorpion wametoka kunichekesha hapa mie. Nimecheka hatari. Tumepata doctor wa pili,huyo Tobius sasa anavokaa eti "no,you are not a doctor" huku sly anakuambia "jd means juries doctor,i am a doctor" pagie yeye anaona raha tu kusukumwa kwenye gari anajifanya hasikii akiambiwa pull the wirehii series ikiisha nazimia jamani mie

Yaani ach kabisa, alinichekesha toby eti coffee inataka kuunguza goodie goodie yake.
Toby bwana,pale yule baba aliwajibu "i dont wana know" walivyokuwa wanabishana na mkewe, yeye akamjibu "glad you asked" akaanza kumuelezea, sijui hata aliwaza nini khaaah!!
 
Yaani ach kabisa, alinichekesha toby eti coffee inataka kuunguza goodie goodie yake.
Toby bwana,pale yule baba aliwajibu "i dont wana know" walivyokuwa wanabishana na mkewe, yeye akamjibu "glad you asked" akaanza kumuelezea, sijui hata aliwaza nini khaaah!!
Always she says it's not good Toby akili zake anazielewa mwenyewe.
 
Alafu mkavuuu hata hacheki, yeye na mkewe chupa na mfuniko.
Yaani wale bora hata they married,akili zao wanaziweza wenyewe. Cabe kawachoka na vifupi vyao,eti wanapanga wazae..niliingiwa huruma happy alivosema anatamani mtoto kwenye episode ya 4 mwishoni..
 
Kweli bab umeangalia nyingi sana, mie nna shida na hiyo vikings, kama upo dsm nielekeze niifate kama unayo yote kuanzia season 1
Sipo DSM kwa sasa, natarajia kurejea huko msimu wa sikukuu za mwsho wa mwaka Kama utahitaji kipindi hiko tutataarifiana.
 
Karibu series zote hapo nimeziangalia tumepishana kidogo sana, ila hapo kwenye hizo ulizoweka pending check hiyo last ship, designated survivor na agents of shields ni balaa hizo, story zake zipo poa sana, 24 na prison break nazo ni habar ingine kabisa, ukizianza zikakolea hutalala..trust me..
Designated survivor naikubali sana.
 
New Series
1. The Brave
2. Seal Team
3. The Good Doctor
4. Valor
5. The Gifted
6. Marvel Inhuman
7. Mr. Mercedes
8. Dynasty
The Brave nimeiangalia ni kali sana. Kwenye hii list ipi ingine yenye action kama the Brave?
 
The Brave nimeiangalia ni kali sana. Kwenye hii list ipi ingine yenye action kama the Brave?
Cheki hiyo Seal Team au tafuta hizi
Strike Back
Shooter
Last Ship
Banshee
Blindspot
Taken
The unit
The player
Last Resort
Six
 
Hamuwezi amini wakuu, nimejikuta tu na download 24 season 5 niirudie upya kwa mara ya 7. Nilimiss sana actions za bauer, tony almeida, chloe obrian, rais mpumbavu charles logan, na wengineon hakika hakuna kama 24.
Mr President, it has been an honor
 
Hamuwezi amini wakuu, nimejikuta tu na download 24 season 5 niirudie upya kwa mara ya 7. Nilimiss sana actions za bauer, tony almeida, chloe obrian, rais mpumbavu charles logan, na wengineon hakika hakuna kama 24.
Mr President, it has been an honor
Huu mzigo ndio nakomaa nao kwasasa...
 
Mzigo wa Stranger things kesho unadondoka full S02
53bff1f0fe5213a9426fa8f6f4f85677.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom