Series (Special thread)

Series (Special thread)

Ricky and morty 4 u wapenzi wa animations hutokuja kujilaumu
NB:;n katuni n ts so funny ila siyo ya kuangalia watt cz ya strong words
 
Mm sizijui..

Nilikuta tu CD ya seaso 3 24hr mm nikapitia tuu..

Ilikua wakina Jack Baur,Tony almeida,Chase edmunds,Michelle,Chloe, Adam wanapambana na Isue ya Viruses sasa sijui hata season 4 inafata nn na hiyo Legacy inaanza namba ngapi..?

Nipe hata highlight
24hrs ile ya kizamani au 24hrs legacy???
 
c3dd2261448d101148ca224b1bee0340.jpg
 
Wadau Kama Kuna mtuu alipenda na kuipa points 5 zote series ya Breaking bad Kama mimi basi nawashauri mtafte series mpya inaitwa OZARK ipo complete season 1 tuu.

Hii series ni nzuri sana mathalani kama unapenda series za madawa ya kulevya na kuona watu ambao ni master minds Kama Mr. White na Gustavo fring kwa upande wangu ndio best new series kwa hii 2017, naona hata IMDB wameipa rating ya 8.6 out of 10 so ipo vizuri sana hata kwenye market.
Kama unazifaham za kijasusi shea nasi mkuu...mi ndo ugonjwa wangu huu.
 
Kama unazifaham za kijasusi shea nasi mkuu...mi ndo ugonjwa wangu huu.
Hii hapa ndugu yangu inaitwa THE PUNISHER, imezalishwa na MARVEL nadhani unajuaga MARVEL mambo yao pia imetoka under NETFLIX so unapata episodes 13 zote ambazo ni complete season 1.

Hii series niliona juzi inatrend huko Twitter ndipo nikaipa concentration kidogo nimekuja kugundua sasa ni series Bora kabisa, hapo chini Kuna picha inaonyesha ratings zake zimematch na GAME OF THRONES na BREAKING BAD ya 9.5

0fa5566cb51de163efb4b4da07246ca1.jpg


Episodes guide: mnaona hapo chini episodes zina ratings za 9 out of 10,haya mambo hutokea kwenye GAME OF THRONES, STRANGER THINGS labda na HOUSE OF CARDS kwa series ambazo zinarushwa kwenye kizazi hiki nawashauri wote hii kitu ni tatizo itafteni alafu mtarudi na mrejesho hapa.

06ce2477eefbc8b8f4c139770401f29b.jpg
 
Mm sizijui..

Nilikuta tu CD ya seaso 3 24hr mm nikapitia tuu..

Ilikua wakina Jack Baur,Tony almeida,Chase edmunds,Michelle,Chloe, Adam wanapambana na Isue ya Viruses sasa sijui hata season 4 inafata nn na hiyo Legacy inaanza namba ngapi..?

Nipe hata highlight
24 legacy ni mpya...n iko vzr more than good..but imetoka mwaka huu ...
Season 2 bado haijatoka if I'm not mistaken....only ipo season 1 tu....
Itafute iko vzr
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom