Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hii hapa ndugu yangu inaitwa THE PUNISHER, imezalishwa na MARVEL nadhani unajuaga MARVEL mambo yao pia imetoka under NETFLIX so unapata episodes 13 zote ambazo ni complete season 1.

Hii series niliona juzi inatrend huko Twitter ndipo nikaipa concentration kidogo nimekuja kugundua sasa ni series Bora kabisa, hapo chini Kuna picha inaonyesha ratings zake zimematch na GAME OF THRONES na BREAKING BAD ya 9.5

0fa5566cb51de163efb4b4da07246ca1.jpg
Hiiiii ni inahusu nini??
Ni kma games of throne???sio mpenzi??inaujasusi??my mood..
au ipo inahusu nn??nijuze mkuu
 
Jamaa aliuliwa familia yake yote kilichofata mungu anajua humo, anakinukisha vibaya sana anafanya revenge.

Naweka msisitizo kinachofata baada ya kuuliwa familia yake ni Mungu anajua, itafte hiyo utarudi tuu hapa.

KEYWORD: MUNGU ANAJUA.
 
Hii hapa ndugu yangu inaitwa THE PUNISHER, imezalishwa na MARVEL nadhani unajuaga MARVEL mambo yao pia imetoka under NETFLIX so unapata episodes 13 zote ambazo ni complete season 1.

Hii series niliona juzi inatrend huko Twitter ndipo nikaipa concentration kidogo nimekuja kugundua sasa ni series Bora kabisa, hapo chini Kuna picha inaonyesha ratings zake zimematch na GAME OF THRONES na BREAKING BAD ya 9.5

0fa5566cb51de163efb4b4da07246ca1.jpg

Episodes guide: mnaona hapo chini episodes zina ratings za 9 out of 10,haya mambo hutokea kwenye GAME OF THRONES, STRANGER THINGS labda na HOUSE OF CARDS kwa series ambazo zinarushwa kwenye kizazi hiki nawashauri wote hii kitu ni tatizo itafteni alafu mtarudi na mrejesho hapa.

06ce2477eefbc8b8f4c139770401f29b.jpg
Ni moja kati mzigo niliokuwa nausubiri kwa hamu sana hatimaye upo hewani ngoja nimalizie kushusha hapa nitarudi na update baadae
 
17e2a4ab53d6d01435cedae2276c90b9.jpg

Finally THE PUNISHER imetoka rates zake imdb ni 9.4/10.. usha ni soma uzuri? ina kimbizana na " THE GAME OF THRONES 9.5/10 na BREAKING BAD 9.5/10 " ambazo ndio series zinazo repotiwa kuwa series bora duniani Kuwai kutokea. Nime bahatika kuiona "BREAKING BAD" aisee ina stahili 9.5.

kwa wanao mjua vizuri JON BERNTHAL huyu jamaa ni moja ya actors ambao wako Furious sana, wenye hasira na asie penda ujinga ujinga .. one of my fabourite Action actors.

Kacheza kwenye DAREDEVIL,BABY DRIVER, WIND DRIVER, SHOT CALLER, THE GHOST, SICARIO, THE WOLF OF THE WALL STREET e.t.c

Ana kale ka style kake kakufuta kisogo na mkono... ukiona hivyo ujue kimenuka...

Top 3 ya actors wenye kutoa kipondo haswa HOLLYWOOD basi huyu siwezi kumuacha... bila kumsahau JASON STATHAM.

Hakikisha una ipakua hii Series in full 13 episodes zote imetoka jana chini ya MARVEL.

Nakushauri u download 720p HD au 1080p HD ili uweze ku enjoy huu mzigo.

59a6d2425c08d8b95123fc4a7e7808d7.jpg
7e4589e58d418d450aa68bde37b1c183.jpg
08fd266d8ac5aec4fc0e45b5d0c5fbf5.jpg
 
Man of Steel nmejaribu kuangalia the punisher s01e01 hata nusu sijafika ikaniboa...yaan naona jamaa siwaelewi kabisa....
 
Jamaa aliuliwa familia yake yote kilichofata mungu anajua humo, anakinukisha vibaya sana anafanya revenge.

Naweka msisitizo kinachofata baada ya kuuliwa familia yake ni Mungu anajua, itafte hiyo utarudi tuu hapa.

KEYWORD: MUNGU ANAJUA.
Nomaaa sana dogo bonge la kipandee..
 
Hii hapa ndugu yangu inaitwa THE PUNISHER, imezalishwa na MARVEL nadhani unajuaga MARVEL mambo yao pia imetoka under NETFLIX so unapata episodes 13 zote ambazo ni complete season 1.

Hii series niliona juzi inatrend huko Twitter ndipo nikaipa concentration kidogo nimekuja kugundua sasa ni series Bora kabisa, hapo chini Kuna picha inaonyesha ratings zake zimematch na GAME OF THRONES na BREAKING BAD ya 9.5

0fa5566cb51de163efb4b4da07246ca1.jpg

Episodes guide: mnaona hapo chini episodes zina ratings za 9 out of 10,haya mambo hutokea kwenye GAME OF THRONES, STRANGER THINGS labda na HOUSE OF CARDS kwa series ambazo zinarushwa kwenye kizazi hiki nawashauri wote hii kitu ni tatizo itafteni alafu mtarudi na mrejesho hapa.

06ce2477eefbc8b8f4c139770401f29b.jpg
Nmeona hapo Frank Castle (Punisher) Atakuwa Ni Yule Wa Kwenye DareDevil nini ???
 
Jamaa aliuliwa familia yake yote kilichofata mungu anajua humo, anakinukisha vibaya sana anafanya revenge.

Naweka msisitizo kinachofata baada ya kuuliwa familia yake ni Mungu anajua, itafte hiyo utarudi tuu hapa.

KEYWORD: MUNGU ANAJUA.
Inapatikana 02tvseries
 
Pole Sana ndugu unakosa utamu huko mbeleni
Dah hii pole uliyonipa imeniingia sana nikaona ngoja nijikaze isiwe tabu....naona nmeanza kuelewa....ingawa bado sijawa impressed kivileee....acha niendelee kukomaa nayo.
 
Mbona ni nzuri na inaeleweka bila shida unajuwa hii Punisher ilikuwa ni movie ina part kama 3 sasa wameamua kutoa series kwahiyo story ni ileile haijabadilika.
 
17e2a4ab53d6d01435cedae2276c90b9.jpg

Finally THE PUNISHER imetoka rates zake imdb ni 9.4/10.. usha ni soma uzuri? ina kimbizana na " THE GAME OF THRONES 9.5/10 na BREAKING BAD 9.5/10 " ambazo ndio series zinazo repotiwa kuwa series bora duniani Kuwai kutokea. Nime bahatika kuiona "BREAKING BAD" aisee ina stahili 9.5.

kwa wanao mjua vizuri JON BERNTHAL huyu jamaa ni moja ya actors ambao wako Furious sana, wenye hasira na asie penda ujinga ujinga .. one of my fabourite Action actors.

Kacheza kwenye DAREDEVIL,BABY DRIVER, WIND DRIVER, SHOT CALLER, THE GHOST, SICARIO, THE WOLF OF THE WALL STREET e.t.c

Ana kale ka style kake kakufuta kisogo na mkono... ukiona hivyo ujue kimenuka...

Top 3 ya actors wenye kutoa kipondo haswa HOLLYWOOD basi huyu siwezi kumuacha... bila kumsahau JASON STATHAM.

Hakikisha una ipakua hii Series in full 13 episodes zote imetoka jana chini ya MARVEL.

Nakushauri u download 720p HD au 1080p HD ili uweze ku enjoy huu mzigo.

59a6d2425c08d8b95123fc4a7e7808d7.jpg
7e4589e58d418d450aa68bde37b1c183.jpg
08fd266d8ac5aec4fc0e45b5d0c5fbf5.jpg
Mzigo upo vizuri tena sana hawajakosea kuipa rating kubwa hapa ndo napowakubali netflix kwangu ndo best channel kwa sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom