Series (Special thread)

17e2a4ab53d6d01435cedae2276c90b9.jpg


Finally THE PUNISHER imetoka rates zake imdb ni 9.4/10.. usha ni soma uzuri? ina kimbizana na " THE GAME OF THRONES 9.5/10 na BREAKING BAD 9.5/10 " ambazo ndio series zinazo repotiwa kuwa series bora duniani Kuwai kutokea. Nime bahatika kuiona "BREAKING BAD" aisee ina stahili 9.5.

kwa wanao mjua vizuri JON BERNTHAL huyu jamaa ni moja ya actors ambao wako Furious sana, wenye hasira na asie penda ujinga ujinga .. one of my fabourite Action actors.

Kacheza kwenye DAREDEVIL,BABY DRIVER, WIND DRIVER, SHOT CALLER, THE GHOST, SICARIO, THE WOLF OF THE WALL STREET e.t.c

Ana kale ka style kake kakufuta kisogo na mkono... ukiona hivyo ujue kimenuka...

Top 3 ya actors wenye kutoa kipondo haswa HOLLYWOOD basi huyu siwezi kumuacha... bila kumsahau JASON STATHAM.

Hakikisha una ipakua hii Series in full 13 episodes zote imetoka jana chini ya MARVEL.

Nakushauri u download 720p HD au 1080p HD ili uweze ku enjoy huu mzigo.

59a6d2425c08d8b95123fc4a7e7808d7.jpg
7e4589e58d418d450aa68bde37b1c183.jpg
08fd266d8ac5aec4fc0e45b5d0c5fbf5.jpg
kuwa rated 9.5 sio issue sana, swali; ni imekuwa-rated na watu wangapi? kumbuka hizo show ulizoilinganisha nazo zimekuwepo kwa zaidi ya miaka mitano lakini hii ndio kwanza bado mpya, btw hii yenyewe haina fiction kama show nyingine za Marvel!?
 
Nimetokea kumwelea mhuni Rich Dotcom kwenye 1st season ya blindspot. Aisee yule jamaa alivyoimastermind escape yake nlimnyooshea mikono
 
Kuna hii ya history nayo siyo mbaya..Making of the Mob

Berlin Station nayo nilianza nayo fresh, ila naona inapoteza mvuto..

Ila Spies of Warsaw nzuri, niliipenda

Queen Sugar niliipenda mwanzoni, naona iko slow, ila sio mbaya kupoteza muda..
 
Wapenzi wa STRIKE BACK, nawakumbusha season 6 ipo episode 4 now.

Ingia bmovies.sis to watch online n dowload if u have IDM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom