Maxmizer
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 4,799
- 4,230
hii naipitaga tu katika kuzishusha ila wikiend hii naishushaStranger things ni habari nyengine mwaka huu mwanzoni walisomba sana tuzo wanastahili sana.
hii naipitaga tu katika kuzishusha ila wikiend hii naishushaStranger things ni habari nyengine mwaka huu mwanzoni walisomba sana tuzo wanastahili sana.
Uletee mrejesho ukishaiangalia.hii naipitaga tu katika kuzishusha ila wikiend hii naishusha
Yeah mkuu labda huko mbeleni mdaa ukiruhusu nitzicheki tuuaisee kweli tumetofautiana radha yani last ship na designated huna hata ham ya kuziangalia![]()
Westworld mpaka mwakani mzee, ndipo season 2 itatokaNomaaaaaaaaaaaaa ...nili wait muda sanaa mkuuu ..hiv WestWorld inatoka lin man? Daah hii kitu nakielewa sana Mkuu..
Yaani nilicheka hatari,sio kwa majibu yaleshaun majibu yake bwana
Shannara nzuri kama unapenda adventure na fantasy itakufaa mi naendelea na S02Kuna alieona Shannara Cronicles humu?
Leo naangalia season ya S.W.A.THii kitu mpya ya kuitwa S.W.A.T ndio kwanza episode 2 zimetoka, ngoja niijaribu nione
Kwangu bado ina mvuto changamoto ni hii ya kutoa episode baada ya episodeDesignated Survivors season hii naona imepoteza mvuto kabisa yani tofauti kabisa na mwanzoni ilivyoanza.
Shannara ishafika episode ya ngapi....?Shannara nzuri kama unapenda adventure na fantasy itakufaa mi naendelea na S02
Nampata terrarium Tv mbona.!Simuoni, unampata wapi?
Huko simpati, sijui shida nini?Nampata terrarium Tv mbona.!
Search Good Behavior bana. Kwanini wasishikwe. Nimecheka balaa mwenzioHuko simpati, sijui shida nini?