Bobbyray
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 1,378
- 1,781
Nimecheki tayari episode 1 iko vizuri tofauti na nilivyotarajiaTatizo ya hizi sura mpya series inaweza kupoa kama ilivokuwa 24 Legacy
Nimecheki tayari episode 1 iko vizuri tofauti na nilivyotarajiaTatizo ya hizi sura mpya series inaweza kupoa kama ilivokuwa 24 Legacy
Wanastahili kubeba tuzo madogo kazi nzuri inaonekana ni moja kati ya series ambayo iko juu kwa sasaStranger things ni habari nyengine mwaka huu mwanzoni walisomba sana tuzo wanastahili sana.
Nilikuelewa mkuu...Mkuu 24 mbona iliisha kitambo? Labda hukunielewa nliposema nimeamua kuirudia upya na kwa sasa nimerudia nipo season 6
Insecure HBO, nadhani kwa wapenda Drama & Comedy hasa za mablack type ya movie za Think like a man labda wataipenda binafsi imenishinda pia.Niliicheki hata sikumaliza episode moja, sikuipenda nikaachana nayo.
TabooUkiondoa hizi series je kuna list nyingine inayoendana na series za namna hii? Yani zile za porini na kihistoria
Vikings
Game of thrones
Spartacus
Merlin
Legend of the seeker
.......
The last kingdomUkiondoa hizi series je kuna list nyingine inayoendana na series za namna hii? Yani zile za porini na kihistoria
Vikings
Game of thrones
Spartacus
Merlin
Legend of the seeker
.......
Fresh sana mkuuTaboo
Rome
Penny dreadful
Da Vinci and demons
Marco Polo
Salem
American gods
Poa poa kiongoziThe last kingdom
Da vinci demons
Medici masters of florance
Reign
Medici masters of florence, is it worth...?The last kingdom
Da vinci demons
Medici masters of florance
Reign
Ok.Story tofauti sema mandhari kuna sehemu kama yanafanana ila ni kwasababu both stories happened in ancient rome.
Rome ilikua tamu sema si wameisitisha?Taboo
Rome
Penny dreadful
Da Vinci and demons
Marco Polo
Salem
American gods
I second that mkuu,iko poa.Wadau Kama Kuna mtuu alipenda na kuipa points 5 zote series ya Breaking bad Kama mimi basi nawashauri mtafte series mpya inaitwa OZARK ipo complete season 1 tuu.
Hii series ni nzuri sana mathalani kama unapenda series za madawa ya kulevya na kuona watu ambao ni master minds Kama Mr. White na Gustavo fring kwa upande wangu ndio best new series kwa hii 2017, naona hata IMDB wameipa rating ya 8.6 out of 10 so ipo vizuri sana hata kwenye market.