Series (Special thread)

Series (Special thread)

Stranger things ni tamu balaa hii episodes zko 9 tu per season af season zko 2 hii series iko so addicted ukianza kuangalia episode ya kwanza huachi aisee na ukfka mwsho utataman isiishe,humu watt wamefanya kaz kweli aisee .......kwa wale wasioiangalia kaitafuten jaman nkiwadisappoint naomba mulete mrejesho humu.......
 
Bila kipingamizi Stranger things iko vizuri tena sana.
 
Ila safari hii wametuletea sura mpya sijui kama itanoga kama ile ya kina Damian Scotty msichana yoyote akikatiza mbele ni halali yake.
Tatizo ya hizi sura mpya series inaweza kupoa kama ilivokuwa 24 Legacy
 
Stranger things ni tamu balaa hii episodes zko 9 tu per season af season zko 2 hii series iko so addicted ukianza kuangalia episode ya kwanza huachi aisee na ukfka mwsho utataman isiishe,humu watt wamefanya kaz kweli aisee .......kwa wale wasioiangalia kaitafuten jaman nkiwadisappoint naomba mulete mrejesho humu.......
Stranger things ni habari nyengine mwaka huu mwanzoni walisomba sana tuzo wanastahili sana.
 
Stranger things ni tamu balaa hii episodes zko 9 tu per season af season zko 2 hii series iko so addicted ukianza kuangalia episode ya kwanza huachi aisee na ukfka mwsho utataman isiishe,humu watt wamefanya kaz kweli aisee .......kwa wale wasioiangalia kaitafuten jaman nkiwadisappoint naomba mulete mrejesho humu.......
Hii stranger ndo ile mwanzo watoto wanaendesha baiskel then m1 wao anapotea alipokuwa akirudi hom?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom