The brave, salvationJaman nipo free kwa sasa ni series gan mpya imetoka kali sana
hahaha alimkata dudu avocadoKale kadogo kashoga kale kalokuwa kanaliwa kiboga
not everybody know scofieldUshaandika kabisa scofieldhalafu una uliza tena jomba
Baadhi ya Series zangu zimerud
Empire Season 4 Released
Designated Survival Season 2 Released.
Kuna hii naona Mpya inaitwa Seal Team sjajua itakuwaje ila naona ni nzur
Hiyo ray don sikuipenda nikaiacha.Hivi kuna aliyeziona hizi?
Ray Donovan.
Manhunt:unabomber.
House of cards.
Sanaa tu Mbona ila mara chache chacheKumbe na huku unapitaga!!
Hicho kipengele kilifanya nikacheka kama chizi jamani, toby sio mzima.Umeona eeh.!! Aziama buana,kanichekesha alivyomwambi gorgio "that's your best line lover boy" halafu baadae kamchenjia gorgio hakuamini eti anamwambi Tom "you can't wait me for a second to finish this" alitaka kuchapa toto halafu anaona Tom kaja kuharibu..
Hebu iangalie hiyo seal team unipe update basi, miss you.Sanaa tu Mbona ila mara chache chache
Ndio nataka Nianze nayo Badae nione Ikoje, Miss you too si umenimbia siku hziHebu iangalie hiyo seal team unipe update basi, miss you.
Ndio nataka Nianze nayo Badae nione Ikoje, Miss you too si umenimbia siku hzi
Ha ha ha ha Karibu sana kipind unanilia timing embu fanya bas 50 ya lunchSijakukumbia bwana, nakulia timing nikukope
Ha ha ha ha Karibu sana kipind unanilia timing embu fanya bas 50 ya lunch
Ha ha ha ha wewe c bado unanilia timing mie nmemaliza kabisa fastaa nikuache na timing zako![]()
![]()
![]()
![]()
Huna adabu, sasa hiyo ya kukupa naitoa wapi wakati ndio naubiri nikukope!! Nipe kwanza then nami nitakupa.
Nimekununia. Nenda kaangalie movie nasubiri mrejesho.Ha ha ha ha wewe c bado unanilia timing mie nmemaliza kabisa fastaa nikuache na timing zako
Ha ha ha ha Mpaka Jion sa hv bado kwanza mida ya Kazi hiiNimekununia. Nenda kaangalie movie nasubiri mrejesho.
Sawa baba.Ha ha ha ha Mpaka Jion sa hv bado kwanza mida ya Kazi hii