Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
Jembe hili...Mda mwingine unacheki Series nyingi mpaka unajiuliza huyu nilimuona wapi ukiacha Salvation![]()
Jembe hili...Mda mwingine unacheki Series nyingi mpaka unajiuliza huyu nilimuona wapi ukiacha Salvation![]()
Ulimcheki kwenye Tyrant?Jembe hili...
Sikuwa interested nayoUlimcheki kwenye Tyrant?
Mmhh unaikosaje Tyrant hadi viongozi wako wa nchi wanaiangaliaSikuwa interested nayo
Sikuwa interested nayo..only thatMmhh unaikosaje Tyrant hadi viongozi wako wa nchi wanaiangalia
Pole yakoSikuwa interested nayo..only that
Kwanini ?? I am so sure kuna vitu vinakupitia kushoto na huvihitaji kabisa.Pole yako
Basi hivyo vinavyokupitia kushoto ndo unakuta vizuriKwanini ?? I am so sure kuna vitu vinakupitia kushoto na huvihitaji kabisa.
Si lazima kila kitu kiwe hivo. Acha vingine vinipite tu hakuna tatizoBasi hivyo vinavyokupitia kushoto ndo unakuta vizuri
Hadi mwakaniIvi wakuu IN TO THE BAD LAND imeshatoka season nyingine
Viongoz wa nchi?.niaje..Mmhh unaikosaje Tyrant hadi viongozi wako wa nchi wanaiangalia
hv asee24 legacyJina ndo hilo mkuu 24 zipo kama season 9 hivi.
Ya Currently inaitwa 24 legacy..Jamani naomba hiyo series ya 24 jina lake kamili na mwaka upi ilitoka maana nisearch terrariumzimekuja nying wadau
Pia ina season ngapi?
Hey seas02??
We hujui movie mkuuu....Hata designated survivor haipo kivile sana ila 24 ni balaa
24 legacy kali ila yule dogo bado anawenge sana..hajatuliaa anashow live kwamba anaigiza.....Hata designated survivor haipo kivile sana ila 24 ni balaa
The Unitbado sijaona series yakuifananisha na "Strike back''
HutajutaNan kawatch taboos ya tom hard? Nataka kuipakua sema naona kama haitakuwa nzuri sana