mzee alpha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 711
- 264
Nimechanganya maelezo ni kale kadogo (david) kalkuw kanamwambia barricyeah ilikua season ya kwanza
but aliesema ni David tweener
Nimechanganya maelezo ni kale kadogo (david) kalkuw kanamwambia barricyeah ilikua season ya kwanza
but aliesema ni David tweener
Ushaandika kabisa scofieldKAMA WEWE NI MKALI WA TV SHOW NANI ALISEMA HIVI NA NI KATIKA SEASON GANI
"""""""Scofield and his whole PI crew, they’re escaping"""""""""

halafu una uliza tena jombaNishaiwatch mamii, happy eti nae ameanza kujifunza vichekesho.Nimetoka kucheka vituko vya doctor tobius na happy wake. Hadi happy kaanza kurithi vituko vya mume wako..
Anakuambia scobibaespy go and watch it haloooo
Mkuu hujaona kuna alama za fungua na funga semi, ie amenukuuUshaandika kabisa scofieldhalafu una uliza tena jomba
Kiasi gan chief? Weka waz na mtandaoWadau sasa najipanga nianze kucheck hiyo salvation Naona mmeisifia sana
Ila kuna good news nataka niwashilikishe hasa kwa wadau wanaotumia mtandao wa halotel mmeona hapo wadau
Hapa mwenzunu najipatia gb5 za internet kwa gharama nafuu kabisa na nimecheki movies na series za kutosha.
NB: unapata kwanza bando(ninahakikisha umepata kwanza bado) kisha unalipia
0758477251 waweza nipigia,nibip au ntumia meseji
Dem mwenyewe anajifanya anapenda wahuni watu wa roho ngumuAiseee wolf atapiga aziama. Maana demu nae anafanya maajabu yule. Hatariiii
Yaani nimecheka vibaya mno leo. Nimecheka sana sana.Nishaiwatch mamii, happy eti nae ameanza kujifunza vichekesho.
Alinifurahisha toby lile dude lilivyotaka kuharibu halmashauri ya pale......
Umeona eeh.!! Aziama buana,kanichekesha alivyomwambi gorgio "that's your best line lover boy" halafu baadae kamchenjia gorgio hakuamini eti anamwambi Tom "you can't wait me for a second to finish this" alitaka kuchapa toto halafu anaona Tom kaja kuharibu..Dem mwenyewe anajifanya anapenda wahuni watu wa roho ngumu
Yaani umemtaja kabisa "scofield" nani angekosa hapo ???Mkuu hujaona kuna alama za fungua na funga semi, ie amenukuu
Mtihani ilikuwa ni kwenye kumjua aliesema na seaon yangapi afu watu hii tulishaangalia zaman mno akaashum tutkakuwa tumesahauYaani umemtaja kabisa "scofield" nani angekosa hapo ???
Mkuu hapo sijaona jipya Tsh5000 kupata 5Gb kwa mwezi, plus dk na sms.Wadau sasa najipanga nianze kucheck hiyo salvation Naona mmeisifia sana
Ila kuna good news nataka niwashilikishe hasa kwa wadau wanaotumia mtandao wa halotel mmeona hapo wadau
Hapa mwenzunu najipatia gb5 za internet kwa gharama nafuu kabisa na nimecheki movies na series za kutosha.
NB: unapata kwanza bando(ninahakikisha umepata kwanza bado) kisha unalipia
0758477251 waweza nipigia,nibip au ntumia meseji
Unaweza fanya uchaguzi sahihi mkuu kazi ni kwakoMkuu hapo sijaona jipya Tsh5000 kupata 5Gb kwa mwezi, plus dk na sms.
Wakati mimi nina line ya chuo kwa mwezi napata 10Gb plus dk na sms kwa Tsh9999. Naona kama ni the same thing.
Series na movie nashusha kwa bando la usiku 10Gb kwa Tsh1500 12am to 6am
Hebu nishawishi vizuri nikutafute.
Inahusu nini salvation mkuuBora tujipoze na machungu ya kuisubiria salvation.
Mtandao gani huu mkuu...?Mkuu hapo sijaona jipya Tsh5000 kupata 5Gb kwa mwezi, plus dk na sms.
Wakati mimi nina line ya chuo kwa mwezi napata 10Gb plus dk na sms kwa Tsh9999. Naona kama ni the same thing.
Series na movie nashusha kwa bando la usiku 10Gb kwa Tsh1500 12am to 6am
Hebu nishawishi vizuri nikutafute.
Nimeshaishusha iko vizuri!Baadhi ya Series zangu zimerud
Empire Season 4 Released
Designated Survival Season 2 Released.
Kuna hii naona Mpya inaitwa Seal Team sjajua itakuwaje ila naona ni nzur
HalotelMtandao gani huu mkuu...?
Asante Mkuu ngoja Jion ntaitafutia Muda niangalieNimeshaishusha iko vizuri!
Iko vzur mzeeSalvation iko poa sana mkuu au ya kawaida?