Series (Special thread)

Full intelligensia za kutosha kama homeland??
Homeland wame film kwenye nchi nyingi tofauti na pia Homeland ni ya miaka hii ya karibuni . Nikimaanisha kuanzia mwaka 2000.

The Americans ni tofauti sababu is based in America and Russia only . Say that , I have only watch two seasons, labda seasons nyingine zitakuwa tofauti. Pia ni kuhusu KGB. KGB ilianzishwa 1950s. The American jinsi ilivyo tengenezwa ni kama vile mid 60s .

Kwa hiyo technology yao ilikuwa nyuma ukilingaisha na jinsi Homeland ilivyo tengenezwa.
 
Series za int. Zitakuja nyingi but none like 24, Jack Bauer himself. Nlikua napenda sana akipiga simu na kauli yake kuntu," CTU has been compromised.."
 
Wadau sasa najipanga nianze kucheck hiyo salvation Naona mmeisifia sana

Ila kuna good news nataka niwashilikishe hasa kwa wadau wanaotumia mtandao wa halotel mmeona hapo wadau

Hapa mwenzunu najipatia gb5 za internet kwa gharama nafuu kabisa na nimecheki movies na series za kutosha.

NB: unapata kwanza bando(ninahakikisha umepata kwanza bado) kisha unalipia
 
fafanua vizurii ...na bei gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom