Khalidoun
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,842
- 4,474
What a season! Looks like we'll need another one to keep telling this tale. [HASHTAG]#salvies[/HASHTAG] #salvation
Mi napenda sana ancient na medieval era stories hii series ni nzuri mno....Nan kawatch taboos ya tom hard? Nataka kuipakua sema naona kama haitakuwa nzuri sana
Hii kitu ina ma sci fi uongo mwingi series na movies za hivi zishanishinda kitambo..Zoo ni nzuri? Nasita kuicheki.
Breaking ndio best series kwangu ikifuatiwa na G.O.TAsee hii naifuga kwanza mpaka iote mkiaaa...
Now naicheki breaking bad maana wadau wameisifia sanaaa
Hiv mwaka huu wametoA??Breaking ndio best series kwangu ikifuatiwa na G.O.T
Breaking bad ni ya kitambo sana mkuu . Iliisha mwaka 2013 ina season tano ni crime drama series nzuri sanaHiv mwaka huu wametoA??
Maana mimi niko season2 inaonyesha ya ktambo kdg
.Breaking badNi moja kati series nzuri sana
Hiv mwaka huu wametoA??
Maana mimi niko season2 inaonyesha ya ktambo kdg
PoA mkuuBreaking bad ni ya kitambo sana mkuu . Iliisha mwaka 2013 ina season tano ni crime drama series nzuri sana
Yaani wale mapenzi yao ya kibabe yananichekesha!!Doctortobius mume ya happy
Nikiitazama scorpion huwa nacheka mpaka nalia mwenzioYaani wale mapenzi yao ya kibabe yananichekesha!!
Bahat mbaya madam speaker hata kuwepo aisee
Congress woman..kwanini ?Bahat mbaya madam speaker hata kuwepo aisee
Banshee.. My favTrue blood
Vikings ( my favorite TV series out there )
Banshee
The walking dead