Series (Special thread)

Series (Special thread)

Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.

Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.

Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.

1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead

Hizo ni baadhi tu..


UPDATES ZA SERIES TOFAUTI KUTOKA KWA WACHANGIAJI KWENYE THREAD.
New tv series nnazozipenda.

1.The last kingdom
2.Narcos
3.Quantico
4.blindspot
5.the bastard executioner
6.limitless

7. jessica jones
8.the returned
9.Tyrat
10.Power
Duuh, hapa zinakosekanaje series hizi?

Game of Thrones
The Blacklist
Empire
Supernatural
Vampire Diaries
The Originals
Banshee
Power
The lost ship
Person of interest
Vikings
Grimm
 
Mi hapana sina Mzuka nayo japo watu wanaisifia sana. Then naona series zangu pendwa zinakaribia kuanza..
Huwez kujua uzur kama hujaiangalia hats mm nilikua nairuka ruka lakin nikasema wacha nione itakuaje weeee,nadhan kesho inamalizoka season 3
 
Duu ulikuwa wapi siku zote ujacheki Breaking Bad?
Nilikuwa naipotezeaaa...
Ila serie zangu pendwa ziliisha skuwa na namna tenaa....nikasema ngoja niicheki..
Ila haijanivutia sanaa...
Nipo season2 ila director alizngua
 
Naomba mnitajie series za black americans nizipakue
Mie naangalia
1. Empire
2. Power
3. If loving u is wrong
4. Insecure

Kama kuna anayezijua nyingine anijuze
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom