Series (Special thread)

Series (Special thread)

Wadau sasa najipanga nianze kucheck hiyo salvation Naona mmeisifia sana

Ila kuna good news nataka niwashilikishe hasa kwa wadau wanaotumia mtandao wa halotel mmeona hapo wadau

Hapa mwenzunu najipatia gb5 za internet kwa gharama nafuu kabisa na nimecheki movies na series za kutosha.

NB: unapata kwanza bando(ninahakikisha umepata kwanza bado) kisha unalipia
Pm mkuu am interested
 
Nakerwa na ushoga wake,niliamua kuiacha,naomba kujuzwa any series mpya ya masuala ya intelijensia design ya akina Homeland
Duh, we hujaendelea, au sio fun wa mziki,, Empire for life
 
Duh, we hujaendelea, au sio fun wa mziki,, Empire for life
Nimeendelea,nimeaingalia tangu inaanza na nyimbo zake nnaz,linapokuja suala la ushoga kwangu ni
Wazungu wanatuchezea akili,kutuonesha scenes za ushoga ni kututeka kisaikolojia tuone kitu cha kawaida sana,ushoga ni jambo baya sana mbele za Mungu si wa kuu entertain
 
DAH ILA HAPO DIRECTOR. Alizingua sana nataman jamal asingekuwemo
 
  • Thanks
Reactions: SDG

Similar Discussions

Back
Top Bottom