evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,335
Umechelewa sana mkuu
Umechelewa sana mkuu
pole sana!Wameshafunga vyuo yupo field bas kila mtu anamuona hajasoma.....
Ok....bas wewe mkubwa....bado hoja zako ni zakitoto! bado sana!
Achana nae, dont waste yo time.Wameshafunga vyuo yupo field bas kila mtu anamuona hajasoma.....
Hata sikumbuki iliishia wapi!!Wale wazee wa the blacklist,mkae mkao wa kula,inarudi sept 27
Sijambo mkuu!Hata sikumbuki iliishia wapi!!
Haujambo dogo?
Ooooh kumbe!! Ye angesoma si angetambua kuwa ni 'shule' na sio 'shure'.

Hebu nenda shule acha kutuharibia mood. Akiri ndio nini sasa?akiri za kitoto, unaonekana tuu!
Salvation hatari hatari..Salvation inazidi kumoga jamani watch it itatupunguzia machungu ya Game of throne
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohooo.ndo mambo yangu hayo,naisubiri kwa hamu.nataka kujua series nyengine zenye patashika na maudhui yanayofanania na the blacklist.Wale wazee wa the blacklist,mkae mkao wa kula,inarudi sept 27
Icheck blindspotOhooo.ndo mambo yangu hayo,naisubiri kwa hamu.nataka kujua series nyengine zenye patashika na maudhui yanayofanania na the blacklist.
Sawa mkuu ngoja niitafuteIcheck blindspot
Unaipakulia wapi mkuu mi zinanisumbua sana... nifahamishe tafadhali....Hua napakua tu kwanza then ndio nangalia japo story yake inaonekana kazi
Ingia terrerium TV ipo google play storeUnaipakulia wapi mkuu mi zinanisumbua sana... nifahamishe tafadhali....
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu lini ipo play store?
Ya kawaida tuTerrerium tv ndo kiboko ya wajinga wajinga wote ktk kudownloud series na movie,, hao wengine nawasikiaga halaf nawaangalia kwa dharau
Sent using Jamii Forums mobile app