Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
Ha ha ha ha ha.Ila mike anaonesha uraia kabisa......
Mike huwa anaaniacha hoi anavyotoa macho vile... ananigutahishasana jamaa
Ha ha ha ha ha.Ila mike anaonesha uraia kabisa......
Mike huwa anaaniacha hoi anavyotoa macho vile... ananigutahishasana jamaa
Uzi umeunganishwa na mwingine..Mbona sielewi humu naona mtu anajibu comments za wiki mbili zilizopita...
Nahapo walipoteza fans wao wengi sana namimi nikiwemooYaani season two sikuielewa kabisaa, walipwaya sana wakapoteza direction kabisa.
Uzi umeunganishwa na mwingine..Mbona sielewi humu naona mtu anajibu comments za wiki mbili zilizopita...
Sio ya kuikosa..anza Mara moja
Ilifikia hatua nikaiacha kwakweli, kuna series unaangalia inafikia mahali inakuchosha tu. Kama queen of south nayo imenichosha tu nikaiacha.Nahapo walipoteza fans wao wengi sana namimi nikiwemoo
Wewe umetoa ushauri...nawaita watu wapokee ushauri unasema utoto...akiri za kitoto, unaonekana tuu!
Wameshafunga vyuo yupo field bas kila mtu anamuona hajasoma.....Ooooh kumbe!! Ye angesoma si angetambua kuwa ni 'shule' na sio 'shure'.
bado hoja zako ni zakitoto! bado sana!Wewe umetoa ushauri...nawaita watu wapokee ushauri unasema utoto...
Hapo ni nan mtoto sasa....au unafikiri kla mtu hajasoma..au ndo Upo Chuo sasahv bas unaona kila mtu hajasoma??!
Grow up kid...movie ni sehemu ya refreshment...huwezi kuwa bze al th Time kid,muda wa kurest unacheki movie....
Naona vyuo mmefunga mnatusumbua sana magreat sinkers..