Series (Special thread)

Series (Special thread)

we
Best TV series according to me.

1. Game of thrones
2. Breaking bad
3. NARCOS
4. Stranger things
5. Vikings
6. Prison break
7. Walking dead
8. House of cards
9. Ray Donovan
10. Queen of South

In that order,

Kama haujaangalia series hizi basi haujawahi kuangalia series nzuri.

Pia Kuna hizi series nazo tamu pia ila sio Kama hizo 10 juu.

1. Rome
2. Spartacus
3. Supernatural
4. Vampire diaries
5. The originals
6. Mr. Robot
7. Da Vinci and demons
8. Marco Polo
9. Salem
10. Penny dreadful
11. Teen wolf
12. Blindspot
13. Kyle XY
14. Arrow
15. Flash.

Hizi zote ni series ambazo nimeziangalia na kuzifatilia vizuri.
weka na killing point, ina season 1 tu, mwanzo mwisho lakini huchoki kuitizama unaweza usilale aisee
 
Best TV series according to me.

1. Game of thrones
2. Breaking bad
3. NARCOS
4. Stranger things
5. Vikings
6. Prison break
7. Walking dead
8. House of cards
9. Ray Donovan
10. Queen of South

In that order,

Kama haujaangalia series hizi basi haujawahi kuangalia series nzuri.

Pia Kuna hizi series nazo tamu pia ila sio Kama hizo 10 juu.

1. Rome
2. Spartacus
3. Supernatural
4. Vampire diaries
5. The originals
6. Mr. Robot
7. Da Vinci and demons
8. Marco Polo
9. Salem
10. Penny dreadful
11. Teen wolf
12. Blindspot
13. Kyle XY
14. Arrow
15. Flash.

Hizi zote ni series ambazo nimeziangalia na kuzifatilia vizuri.
Narcos, house of cards and vikings hizi vitu ni hatari kwa afya ya akilinna mwili pia. Coz hautapumzika kuziangalia hivyo matatizo ya afya kimwili ni lazima upate. Hautatoka kutafuta pesa wala hautakwenda kazini hivyo kukosa pesa na kufukuzwa kazi ni lazima upate tatizo la kiakili.
My take ni series nzuri sana yakupasa upange ratiba zako vizuri kabla ya kuanza kuangalia nina uhakika hautaacha mpaka ihakikishe ziishe
 
ukitaka umbea wa wanawake tizama desperate housewives, yaani tabia za wanawake zote ni sawa, hakuna tofauti kuwa waswahili wana tabia hizi na wazungu wana hizi, yaani vile vile
 
Narcos, house of cards and vikings hizi vitu ni hatari kwa afya ya akilinna mwili pia. Coz hautapumzika kuziangalia hivyo matatizo ya afya kimwili ni lazima upate. Hautatoka kutafuta pesa wala hautakwenda kazini hivyo kukosa pesa na kufukuzwa kazi ni lazima upate tatizo la kiakili.
My take ni series nzuri sana yakupasa upange ratiba zako vizuri kabla ya kuanza kuangalia nina uhakika hautaacha mpaka ihakikishe ziishe
Viking mpango mzima. mpaka amalize season zote 6 atakuwa amefaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom