Series (Special thread)

Series (Special thread)

Ukweli ni kwamba G.O.T ndiyo inayoongoza hata ndio maana mpaka watu wametengeneza fanbase katika mitandao ya kijamii hata merchandise zake kama nguo na vitu vingine zinauza sana online, watu wameiga kuita majina mpaka ya watoto wao kutoka GOT mfano jina kama Arya limetokea sana miongoni mwa majina mapya ya watoto hata lugha ya dhoraki imeibua maneno mapya

Empire haijaizidi GoT but ndio series inayoongoza kuongeza watazamaji katika kila episode mpya, yenyewe imeongoza viewers katika miongoni mwa show zinazorushwa na kituo cha tv cha FOX
FOX ni kituo kikubwa sana ndio maana hata 50 cent alicriticise kwamba wanaipromote sana EMPIRE tofauti na ilivyo ili kuiua na kuizidi show yake ya POWER (2014) inayorushwa kwenye kituo cha STARZ

Pia ukiangalia hata report ya IMDb site the most rated tv show of 2015 ambayo imeandaliwa kuanzia September 2014 to May 2015 ambapo GOT ilikuwa bado haijaisha so haikujumuishwa inaonyesha EMPIRE ni ya 18

Game of throne inaongelewa sana kaka mfano tukio lile la Red Wedding ambayo RObb Stark na Mama yake walilouliwa liliongelewa sana kwenye tweeter mpaka likavunja rekodi ya siku hiyo na kwenye mitandao mingine ya kijamii
In the game of thrones its either you win or you die,there is no middle ground.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani sikutegemea kama Slattery angepatikana,nikajua anauliwa au anakufa jomoni I'm happy Last ship mie weee. Sasa Georgio Kazi anayo na omar wake
The last ship tamu jomoni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom