Series (Special thread)

Mkuu yani mimi kakipande nikiwa sijaelewaaa narudia movie nzima..maana huwa nahisi Kuna kitu nimemiss
 
Naomba kuuliza, hivi game of thrones inaomeshwa siku gani na sangapi kwenye HBO. Nataka niiangalie kupitia kwenye television
 
long time sijapata muda wa kucheki hizi vitu,,kweli priorities zinabadilika wakati nilikua shabiki namba moja wa movies & series sipitwi
Ulaya vibibi na vibabu huwa vinaenda movie theatre kucheki movie.....
Vp ww uliacha?????umekuwa amaa.?..
Maana ulaya wenzetu ndohvyo
 
Kuna yule mlinzi wa rais(secret service) anaitwa Mike nimependa sanaa alivyoact aseee jamaa kakaba sana...
Alimwambia rais alivyopigwa risas akiwa kalazwa aache kumpa taarifa mkewe hahaha..."sir u need to tie in yo cycle"
Ni serie Kali sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…