Series (Special thread)

Series (Special thread)

Wakuu,

Kwa wale wapenzi wa movies na series, tuambizane ni series na movies zipi kali kali.

Umeanza kutizama movies lini.

Your favorite movie or series.

Ni series na movies gani kali zinazo trend kwa sasa?

Kwangu mimi.. Naielewa sana Game of thrones.. Series yangu ya kwanza kuitizama ilikua inaitwa Jumong.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom