Umeonaee? Wazungu walipotupatia,wanaka wte na kupanga mipango na inaonekana kama ni tofauti sema tu kuna saa saut zinafanana nadhan wamekua wamechokaNi mmoja huyo sema anacheza character zote kwa ufanisi sana kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi1.GOT
2.WestWorld
3.Taboo
Mtu mwenye kucheki hizi ni Master haswa.
daahh asee bora maana nimeitafuta hyo GOT mpka basi kumbe ni kifupisho tuu agrrrrrrrrrr
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Taboo episode ya kwanza 2 imenshndabaadhi ya ancient tv series nilizoangalia
1.taboo 2.marco-polo 3.Vikings 4.game of throne 5. davinci demons 6.The borgias 6.the tudors 7.reign
Mi nimeshaziangalia zote nane kwakweli haijaniangusha kivile, sijui season two inatoka liniTaboo episode ya kwanza 2 imenshnda
Game Of Throne
Nikimaliza ninachokifanya kwa sasa,nitaichek.Ipo seson 5 kwa ss ila utam zaid naona nimeufaid kuanzia season 2
Confirmed 20 august kitu kitakuwa hewani,wazee wa torrent mpk 23 august tutakuwa tushakitia mkononiNikimaliza ninachokifanya kwa sasa,nitaichek.
August on the way.....
The Last Ship naiona Nathan James kwa mbaaaaaaliiiiiiiiii
Nikimaliza ninachokifanya kwa sasa,nitaichek.
August on the way.....
The Last Ship naiona Nathan James kwa mbaaaaaaliiiiiiiiii
sa 9 usikuGame of throne S07E02 saa ngapi?
Shooter S02 imeanza vizuri sana.Hiyo sijacheki mpenzi, ila shooter niliicheki na niliipenda. Na imerudi season 2 naona itakuwa kali. Ijaribu mama.
Yes, imenifurahisha kwakweli.Shooter S02 imeanza vizuri sana.
Iyo shooter nayo n nzuri nsje nkachoma mb kama tabooYes, imenifurahisha kwakweli.