Series (Special thread)

Series (Special thread)

Wadau naombaa msaada kuhusu ku download movie. Juzi nili download movie kupitia torrent baada ya kumalizika zikawa hazioneshi na zinadai password naombaa msaada kama kuna link nyingine ambayo unaweza kupitia ku download movie bila torrent naomba msaada wenu wadau.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia hapa utaweza ku download au kuangalia online
www.fmovies.is
 
Ni terrurium mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama unatumia terrarium pekee. Hizo episode unazo dawnload angalia kwenye folder la dawnload ktk simu yako sio. Kwenye folder la terrarium.
Pili tafuta app kama ADM ndio utumie kudawnload kwa haraka. Chakufanya zikishakuja zile link zenye quality tofauti tofauti chagua unayotaka kisha nenda sehemu ya open with... chagua app ya ADM.
Terrarium inadawnload slow sana.

Hans Pol
 
Nami natafuta season 6

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia terrarium app utaipata
4baac72bbc8c077fa5759afbd3f3a593.jpg


Hans Pol
 
Tumia terrarium app utaipata
4baac72bbc8c077fa5759afbd3f3a593.jpg


Hans Pol
Mkuu samahani, nimevamia thread lakini ombi langu ni kupata link ya kudownload templetes mbalimbali za adobe indesign, Photoshop na premier pro.

Natamguliza shukrani
 
Mkuu samahani, nimevamia thread lakini ombi langu ni kupata link ya kudownload templetes mbalimbali za adobe indesign, Photoshop na premier pro.

Natamguliza shukrani
Hebu jaribu hapa! Nasema jaribu cuz' sina utaalamu na hayo ma-Adobe though naya-feel sana!!!
Sina hakika kama unazoefu na ma-torrent, kama huna basi make sure unaangalia column iliyoandikwa "S", yaani Seeders. Kadri file linapokuwa na big "S" number, ndivyo linavyokuwa rahisi kuwa kulishusha!!
 
  • Thanks
Reactions: dtj

Similar Discussions

Back
Top Bottom