Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kuna thriller moja Imeanza kuruka ina jumla ya episode 2 inaitwa The Arrangement. Kwa anaetaka kind of new series hiyo Hapo..jamani good behavior inaanza kuruka Lin season 2?
 
Kuna thriller moja Imeanza kuruka ina jumla ya episode 2 inaitwa The Arrangement. Kwa anaetaka kind of new series hiyo Hapo..jamani good behavior inaanza kuruka Lin season 2?
Hii nimeicheki nimeipenda sana kwakweli.
 
Wadau nawaletea kitu kimoja kinaitwa Army of the 12 monkey damn itafuten hii inahusu time travel watu ambao wanataka kuisave dunia from 33 years to come from plague ya virus ambayo inauwa 7billion population ila wanabaki tu wale immune
Pia ina action ndani find it hutojutia
Nawasilisha
 
Daa wakuu kwa mwenye kunisaidia web nzur ya kuchek series online wakuu ..niliyokuwa natumia naona ni majanga tu kwa sasa.
 
Jaman kama kuna mtu anapata shida ya kuchek movie on line or kudownloud plz fanya hivi....

Ingia google play store ipakue app moja inaitwa terrerium TV,,then uone maajab yake,,ukitaka kuzipakua movie na series zote unazotaka dunian unazipata,,ni nyepes sana kutumia,haina mzunguko,na unachagua ukubwa unaotaka,,,kuanzia mb 55 mpka gb moja... Kazi kwenu,,hapa napakua the 100 season 4 episod 5 imetoka jana,na designated survivor nayo inaingia mdogo mdogo episode 12
 
Wadau nawaletea kitu kimoja kinaitwa Army of the 12 monkey damn itafuten hii inahusu time travel watu ambao wanataka kuisave dunia from 33 years to come from plague ya virus ambayo inauwa 7billion population ila wanabaki tu wale immune
Pia ina action ndani find it hutojutia
Nawasilisha
Ni series au kitu gani? Kama series iko season ya ngap na episode ya ngap latest?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom