Series (Special thread)

Series (Special thread)

0a71de818436d86c63b2dd9c91aa5cd7.jpg
kama hvyo yaaani
 
Yaani imenishinda kabisa kuacha. Nazipenda fantasy and mystery genre Yaani. Now kuna new series midnight Texas,nataka niianze hiyo
We angalia tu mama. Kuna mwanangu yeye anazipenda ila qnaweka then anatoka nje, anaangalizia dirishani. Ikianza kutisha anainama. Huwa najiuliza taabu yote ya nini hata sipati jibu.
 
We angalia tu mama. Kuna mwanangu yeye anazipenda ila qnaweka then anatoka nje, anaangalizia dirishani. Ikianza kutisha anainama. Huwa najiuliza taabu yote ya nini hata sipati jibu.
umenichekesha sana espy
 
We angalia tu mama. Kuna mwanangu yeye anazipenda ila qnaweka then anatoka nje, anaangalizia dirishani. Ikianza kutisha anainama. Huwa najiuliza taabu yote ya nini hata sipati jibu.
Chaaaaaa!!!!sasa anaangalia ya nini??
 
Wadau naombaa msaada kuhusu ku download movie. Juzi nili download movie kupitia torrent baada ya kumalizika zikawa hazioneshi na zinadai password naombaa msaada kama kuna link nyingine ambayo unaweza kupitia ku download movie bila torrent naomba msaada wenu wadau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama una utorrent wewe ingia kickass.com pakua torrents kisha shusha mzigo.Mi huwa nafanya hivyo mara nyingi tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom