Series (Special thread)

Series (Special thread)

Mie ndio hataaaa sina habari nazo.
Ha ha ha ha..ilnikomesha saw. Mtoto Nina weweseka usiku,ikifika mchana saw kama kwa,usiku Nina weweseka na kuota na makelele kibao.
Ikaja wrong turn,weeeeeee!!!!makelele usiku naota,mama akaona huu ujinga akahamisha deki peleka chumbani kwake. Nikaanza kwenda kutazama kwa watu,usiku na makelele yangu nilishitukia nabalaswa makofi sitosahau
Final destination sasa
 
Stranger things
Ash vs Evil Dead
Outcast
The Mist
Salem
Penny Dreadful
The Returned
The Whispers
Sleepy Hollow
Wayward Pines
Preacher
Brain Dead
Kazi kwako hapo mkuu.
Hapo nimeangalia sleep horror, the preacher,outcast,na penny dreadfully nazikubar,ngoja nikacheki hizo nyingine
 
Ha ha ha ha..ilnikomesha saw. Mtoto Nina weweseka usiku,ikifika mchana saw kama kwa,usiku Nina weweseka na kuota na makelele kibao.
Ikaja wrong turn,weeeeeee!!!!makelele usiku naota,mama akaona huu ujinga akahamisha deki peleka chumbani kwake. Nikaanza kwenda kutazama kwa watu,usiku na makelele yangu nilishitukia nabalaswa makofi sitosahau
Final destination sasa
una balaa wewe, pamoja na kuweweseka bado tu ukazikomalia!!!
Sijawahi kuzipenda wala kuzitazama kwakweli. Mie na mambo ya kutisha tisha mbali mbali kabisaaaaa.
 
Yaani mi kawaida mPaka kesho Nina tabia za kuzikomalia
 
Wakuu kwanin niki download series hasa kupitia terrarium huwa haijisave kwenye simu? Maana natumia sim ..sasa kwa wanaotumia hii app naomben mnisaidie. Nime uninstall na ku install upya lakin bado iko vile vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Queen of the south season 1 ina episode ngapi?
nimeanza season 2 lakini naona sipo nilipoishia season 1
 
Wakuu kwanin niki download series hasa kupitia terrarium huwa haijisave kwenye simu? Maana natumia sim ..sasa kwa wanaotumia hii app naomben mnisaidie. Nime uninstall na ku install upya lakin bado iko vile vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ina jisave ndugu,angalia kwenye downloud list utazikuta,mm siwez kutumia kitu kingine cchte zaid ya terrerium tv jombaaa,yaan najichagulia tu HD moja na mb 300 au 400 safiii then naiweka kwa laptop
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom