fahadain
Senior Member
- Feb 15, 2017
- 183
- 254
Asante Sana mkuu naingia hapa.Hebu jaribu hapa! Nasema jaribu cuz' sina utaalamu na hayo ma-Adobe though naya-feel sana!!!
Sina hakika kama unazoefu na ma-torrent, kama huna basi make sure unaangalia column iliyoandikwa "S", yaani Seeders. Kadri file linapokuwa na big "S" number, ndivyo linavyokuwa rahisi kuwa kulishusha!!
You're welcome....Asante Sana mkuu naingia hapa.
Inahusu nini mkuuAm the commander of this ship...ya ukweli sana hii movie
Weuweeee scorpion inarudi season 4 chalii angu.. Bado siku 58 kisha huko vipi?? Kwa uhakika zaidi download TV Time itakuambia bado siku ngapi.
dooh yaan sijui nikushukuru vp aiseh,let me start the countdown..Weuweeee scorpion inarudi season 4 chalii angu.. Bado siku 58 kisha huko vipi?? Kwa uhakika zaidi download TV Time itakuambia bado siku ngapi.
dooh yaan sijui nikushukuru vp aiseh,let me start the countdown..
sema nawaza kwa sauti hapa,hivi tim (lile jitu pana) likirudi o'brien si ananyang'anywa dem hivi hivi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti jitu pana.uwiiiih my ribsUliza inaendelea lini...sio kuuona.Kuna mtu ameiona designated survivor?????
toby huliita hivo na jinsi halipendi sasa!!![]()
![]()
![]()
![]()
Eti jitu pana.uwiiiih my ribs
Tobayas
naipenda sana hii series..Mwezi wa 10. Yaani kuanzia Leo siku 60 aheadUwiii Lini inaendelea...![]()
Inahusu nini hii mom?Tobayas![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
naipenda sana hii series..
Scorpion inawahusu team genius ambao wanatatua matatizo mbalimbali,iwe ya kijasusi ya kijamii ilimradi ni tatizo.Inahusu nini hii mom?
Inaujasusi?
Itafute hii mkuu,ni ya ukweli sana...hapo huyo commander alitekwa na wa Russia, itafute uicheki hutajutia
Scorpion sio??Itafute hii mkuu,ni ya ukweli sana...hapo huyo commander alitekwa na wa Russia, itafute uicheki hutajutia
Sio scorpion..Itafute hii mkuu,ni ya ukweli sana...hapo huyo commander alitekwa na wa Russia, itafute uicheki hutajutia
Scorpion sio??