Series (Special thread)

639334231f3e97e99c3b1f5d76ee3415.jpg
mdogo mdgo tu siku yang inaenda poa
 
Kama unapenda mofo kibao zinatajwa huko. Na kwich kwich za kila dakika
NB:usiitazame na mtu unae muheshimu
Asante Maserati....nimesoma hii comment nikaangalia kifua cha Avatar yako!!!! Joking!

I like actions na scenes zenye kutumia akili sana. If it lacks intelligence parties nitaiacha nisubirie Last Ship...huku nikiendelea kuifuga Queen of the North!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..Wakuu hii THE LAST SHIP nilikuwa naidharau nimeanza kuangalia najikuta nimemaliza season 1 sasa hivi nimeanza season ya 2..utamu wazidi kunoga..
 
Poa. Yaani hiyo GOT yao mie aaaghaaaaaaa
GoT ina mapungufu yake kv too many characters kiasi kwamba wengine wanaweza kupotea kwenye episode zaidi ya moja kisha wanakuja kuibuka tena baadae kiasi kwamba unaweza ukasahau waliishia wakifanya nini! Hata mimi GoT awali ilinishinda lakini nilikuwa na kazi ambayo ilikuwa LAZIMA niiangalie! Hapo ndipo nilipokuja kufahamu kwamba kumbe nayo ni one of the best series hivi sasa!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom