Ubavu
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 2,790
- 3,272
Tema mate chini!Poa. Yaani hiyo GOT yao mie aaaghaaaaaaa
Sent by Ubavu
Tema mate chini!Poa. Yaani hiyo GOT yao mie aaaghaaaaaaa
Tema wewe nitayafukia mimiTema mate chini!![]()
![]()
![]()
Sent by Ubavu
Sijawahi zipenda series zenye hizi genreGoT ina mapungufu yake kv too many characters kiasi kwamba wengine wanaweza kupotea kwenye episode zaidi ya moja kisha wanakuja kuibuka tena baadae kiasi kwamba unaweza ukasahau waliishia wakifanya nini! Hata mimi GoT awali ilinishinda lakini nilikuwa na kazi ambayo ilikuwa LAZIMA niiangalie! Hapo ndipo nilipokuja kufahamu kwamba kumbe nayo ni one of the best series hivi sasa!!!
Ha ha ha ha. Karibu sana mkuu. Hello from the Nathan James..Wakuu hii THE LAST SHIP nilikuwa naidharau nimeanza kuangalia najikuta nimemaliza season 1 sasa hivi nimeanza season ya 2..utamu wazidi kunoga..
Hahah nzuri sana hiyo
Hiyo nliicheki S01.Kuna anayeangalia "Atlanta"??
Ya mwaka jana kama sijakosea comedy kidogo rappers nzuri pia
Mkwe tatizo mie hizo genre za hivo hazijawahi kunivutia kwakweli.Mkwe naomba nikukaribishe
nipo tayari nianze na wewe S01-E01 lazima utaipenda sana.
Ha ha ha ha umenikumbush hi kitu noma sanaaaaa,jamaa alimjib mshkjai mpka andas ikamkataMy name is Thomass Chandler, Commander, United States Navy Serial number 4242022634
Am the commander of this ship...ya ukweli sana hii movieNikimaliza ninachokifanya kwa sasa,nitaichek.
August on the way.....
The Last Ship naiona Nathan James kwa mbaaaaaaliiiiiiiiii
Gotham inahusu nini??
Nipe utamu wa 10,12 zinavuto kias gan1.game of throne
2.supernatural
3.viking
4.how to get away with murder
5.gotham
6.The grimm
7.The last ship
8.scandal
9.brain dead
10.shanara
11.jane the virgin
12.The zoo
13.into the badland
14.empire
15.prison break
16.Z nation
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi basi Ndio captain wewe iwe master chief..Am the commander of this ship...ya ukweli sana hii movie
Don't try out utakuwa addictedNipe utamu wa 10,12 zinavuto kias gan
Mm ni addicted tayar muda tu,ni nzr au zinamaliza mb bure je zinahusu nn zaid
Nikubali sana alivyokuwa anamjibu hapo aiseeHa ha ha ha umenikumbush hi kitu noma sanaaaaa,jamaa alimjib mshkjai mpka andas ikamkata
Okay I will be ur master chief maseratimimi basi Ndio captain wewe iwe master chief..
Daah!!...ile ni best part ever!Ha ha ha ha umenikumbush hi kitu noma sanaaaaa,jamaa alimjib mshkjai mpka andas ikamkata
Ha ha ha ha haOkay I will be ur master chief maserati