leonardo da vinc
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 1,108
- 735
Kama unapenda black American life style hii ndio the best
Kama unapenda black American life style hii ndio the best
Karibu mkuuThank you mkuu
The power au power?
Kumbe my kaka na huku huwa unapita!!!Thank you mkuu
Mie ilinishinda sijui kwanini!!!
nilikuwatafuta The 100 umeiona! Moja kati ya series nzuriKumbe my kaka na huku huwa unapita!!!
leonardo da vinc mkuu naomba majina ya ancient story series zingine niangalie kuna baadhi nimisha ziona kama da vinc,GOT,vikings,the borgia,Taboo,rome,busterd excution,rome,tudors,reign,the last kingdom,spartcusKaribu mkuu
Nilicheki season one na two kidogo nikaichoka nikaachana nayo.nilikuwatafuta The 100 umeiona! Moja kati ya series nzuri
Ha ha ha ha.wewe ukisema mie nafata,nitaanza kuichek dearHiyo sijacheki mpenzi, ila shooter niliicheki na niliipenda. Na imerudi season 2 naona itakuwa kali. Ijaribu mama.
Kama unapenda mofo kibao zinatajwa huko. Na kwich kwich za kila dakika
Sitasahau power ilivyoniaibishaga mbele ya dogo, nimeiweka kwa mbwembwe zote, wee mbona niliisaka remote, na kuhamia kuicheki chumbaniKama unapenda mofo kibao zinatajwa huko. Na kwich kwich za kila dakika
NB:usiitazame na mtu unae muheshimu

Marco pololeonardo da vinc mkuu naomba majina ya ancient story series zingine niangalie kuna baadhi nimisha ziona kama da vinc,GOT,vikings,the borgia,Taboo,rome,busterd excution,rome,tudors,reign,the last kingdom,spartcus
Kuna chalii ilikuwa anakuja kuomba kuichek akiwa na miadi na demu wake. Basi ataangalia episode zenye uchokozi weeee mpaka basiSitasahau power ilivyoniaibishaga mbele ya dogo, nimeiweka kwa mbwembwe zote, wee mbona niliisaka remote, na kuhamia kuicheki chumbani![]()
![]()
Poa. Yaani hiyo GOT yao mie aaaghaaaaaaaHahaaa!! We icheki mama, nasubiri mrejesho.
Ah!! Si sawa na walivyoisifia GOT alafu sie imetushinda!!
Mie ilinishinda sijui kwanini!!!
Kuna chalii ilikuwa anakuja kuomba kuichek akiwa na miadi na demu wake. Basi ataangalia episode zenye uchokozi weeee mpaka basi
Duuuuuh!! Maybe itokee sina cha kuangalia nitaifikiria.Mimi mwenyewe mwanzoni ilinishinda nikaacha...nikaanza tena mara pili nikaja kuielewa..
Kuanzia episode ya 3 ndio utaanza kuielewa.
Pakua terrerium tv unakula kitu mweeeeeee100 ya 4 ushaiona? Nitaipataje[online]