Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,948
- 183,421
Kuna mtu aliisifia weeeeeeh, yaani hadi akaniletea, nikaiweka kuiangalia najionea maruwe ruwe tu, hata episode moja sikumaliza nikaachana nayo.Mie sijawahi hata kuitazama [emoji3][emoji3][emoji3]