Sikuwahi jua nani kati yao hakuwa cloneKitu Orphan Black bhanaaa,,mademu wamefanana kama chupa
Pole sana but tatizo ni ulikua umepewa sifa zote ambazo huwez pata kwa episode 1 take your time and watch when huna haraka then uje utoe mrejeshoKuna mtu aliisifia weeeeeeh, yaani hadi akaniletea, nikaiweka kuiangalia najionea maruwe ruwe tu, hata episode moja sikumaliza nikaachana nayo.
Pole sana but tatizo ni ulikua umepewa sifa zote ambazo huwez pata kwa episode 1 take your time and watch when huna haraka then uje utoe mrejesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa torrent jaribu kickass.cdHabari za jioni wadau. huwa natuma extra torrent ku pakua vitu ila sasa inazingua, naombeni njia mbadala
Hapana,siweziItizame coz it worthy watching!
Ipo extratorrent.agHabari za jioni wadau. huwa natuma extra torrent ku pakua vitu ila sasa inazingua, naombeni njia mbadala
Ni mmoja huyo sema anacheza character zote kwa ufanisi sana kwa kweliKitu Orphan Black bhanaaa,,mademu wamefanana kama chupa
Ndio something is missing kwenye hiyo series kadri unavyoendelea inapoteza mvuto Nilijikaza tu kuimalizaShooter ilianza vizuri sana lakini baadae ilipoteza taste ya mwanzo baada ya kuwa na matukio yasiyo na mtililiko mzuri ikawa kama low budget movies its like kuna kitu kitu kinapungua lakini ni story nzuri ingepangiliwa vizuri kama episode ya 1 na ya 2 ingekuwa hatari sana kwa nionavyo mimi!
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
SureNdio something is missing kwenye hiyo series kadri unavyoendelea inapoteza mvuto Nilijikaza tu kuimaliza
Haya potea mb zako za bure,utakuja kuniambia hapa,ina story nzur ila wahusika naona kama hawakujipanga kuicheza,ina kitu ambacho unajua kabsa kwamba hii ni mchezo,hata sondtruck zake mbovuuuuu,aah imenikinai,kuna series ambayo ukiangalia hata nyimbo zinazopigwa unasema kwel hapa mahala pke kabsa lakin shooter aaaaahhhhhgggg msinikumbuahe,,wala six msinikumbuahexav bero mbona huyu pia anaisifia??