Series (Special thread)

Series (Special thread)

UNDERGROUND hii kitu pia iko poa sana..
Kwa wale wapenDao historia za harakati za Mtu mweusi n.k..Jarivu hii kitu

Sent from my GT-S6790 using JamiiForums mobile app
 
Ninachoweza kukushauri, haraka sana.... Haraka sana, ianze designated survivor. Mi nilikuwa naizembea hivo hivo, lakini nilivyoianza aisee nilikuwa nalala saa kumi.
Such a nice story nakuambia.
You won't regret about your mbs joh. Itazame, ukiendelea nayo msalimie my baby Seth wright...
Shooter ilianza vizuri sana lakini baadae ilipoteza taste ya mwanzo baada ya kuwa na matukio yasiyo na mtililiko mzuri ikawa kama low budget movies its like kuna kitu kitu kinapungua lakini ni story nzuri ingepangiliwa vizuri kama episode ya 1 na ya 2 ingekuwa hatari sana kwa nionavyo mimi!

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama ina ma firinyongo Hata siitaki
 
Jaribu inaweza kukuvutia coz tunatofautia katika test but for me hiyo na six nilivyotarajia kabla hazijatoka na baada ya episode ya 2 kuendelea sio

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Jaribu inaweza kukuvutia coz tunatofautia katika test but for me hiyo na six nilivyotarajia kabla hazijatoka na baada ya episode ya 2 kuendelea sio

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Aqkhuuu. Kwenye action tutakuwa tuna common demand sio mizinguo
 
GOT
Prison break
24
Designated survivor
The last ship

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo GOT siifuatilii but prison break sijaifatilia season 5, ushawahi ichek APB??
Kama unapenda ancient stories GOT ndo best nafikiri prison break s05 ni season waliotoa baada ya season 01 Sipendi SciFi za kupitiliza so sijawahi hata jaribu ishusha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom