OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Mwambie uyo ajui tu mpk sasaa. Utamu uloopoQueen of the south ni bonge la movie!ilipofikia ni balaa
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Mwambie uyo ajui tu mpk sasaa. Utamu uloopoQueen of the south ni bonge la movie!ilipofikia ni balaa
Ikoje??unanishauri niitazame??Mi niliangalia mpaka season 3 tu
Aaah!! Yaani walaaaaa, iliniboa nikaachana nayo.Apo kwenye the 100 tayar ushafeli. Hakuna series kali kama hii. ..
Kizuri kwako,kibaya kwangu.
daahh asee bora maana nimeitafuta hyo GOT mpka basi kumbe ni kifupisho tuu agrrrrrrrrrrGame of thrones kifupi ndo GOT![]()
![]()
Kuhusu GOT naomba urekebishe kauli..!Inawezakuwa top on chat lakini sina mashiko nazo, mfano GOT, the flash ziko kwenye top chat lakini sizipendiiiii
Haitokaa itokee, usi force unachokielewa wewe na mwingine akielewe. That's why wazungu wakaweka different genre, unadhani hawakujua kama zitatofautiana ladha??
poleeedaahh asee bora maana nimeitafuta hyo GOT mpka basi kumbe ni kifupisho tuu agrrrrrrrrrr
Ushajijibu hapo," Duh watu tunavionjo tofauti"Duh watu tuna vionjo tofauti...
Hivi watu wanapendaje miseries yenye midubwana sijui inatoka sayari gani au mazimwi ya kufikirika?
Mie maseries ya sijui mimea inakula watu mara maroboti ya kufikirika au watu wanapaa kama upepo huwa natupa kuleee...
I like movies zenye uhalisia na zenye kufikirisha ktk mazingira halisia tuishiyo....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kukushauri tu nakusisitizia itazame kabsaaaIkoje??unanishauri niitazame??
Nakupata hapo kwene westworld na Taboo. Kuna baadhi ya watu wanasema GOT na BB ziko overrated..Hello wadau. kwa Ambazo mim nimecheki zifuatazo zipogo kichwani mpaka kesho. Kama umeiskiaskia mojawapo na unajifkiria usisite.
1.Breaking bad
2.Game of thrones
3.Jumong
4.House of cards
5.Into the badlands
6.Shameless
7.13 reasons why
8.Peaky blinders
9.Taboo
10.Walking dead
11.Westworld
12.Power
Jay
Hiw to get away with murder msalimie Analice, ana sura ngumu kama mipango yake, ni hatari.Nakupata hapo kwene westworld na Taboo. Kuna baadhi ya watu wanasema GOT na BB ziko overrated..
Bahati nzuri mm huwa sibagui naangalia kuanzia "How i met your mother" hadi kwene "How to get away with murder.."
Btw prison Break S05 hawakuitendea haki
Sawa mdau mkuuSio kukushauri tu nakusisitizia itazame kabsaaa
Pole mkuudaahh asee bora maana nimeitafuta hyo GOT mpka basi kumbe ni kifupisho tuu agrrrrrrrrrr
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Ni nzuri kuitumia kama stop gapIkoje??unanishauri niitazame??
Kwanini??Ni nzuri kuitumia kama stop gap