Series (Special thread)

Series (Special thread)

Mazoea yana taabu, mie nishaizoea show box zaidi. Terarrium naona inazingua, update kila siku khaaah!!!
Mi nimeifuta leo, ina crush down kila saa. Sitazami tena series ni mwendo wa kucrush down. Nimeifuta leo.
Nabaki na showbox yangu, ninataka kuanza series moya either designated survivor au last ship leo.. Ninaambiwa ni nzuri sana
 
Yap zipo vizuri ulichelewa wapi kuzianza manake kama mm nasubiria muendelezo wake
 
Wakuu kuna mtu yeyote anayeifatilia American Gods?! Ndo nataka nianze kuiangalia.. Sijaju kama inaworth my time!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom