Series (Special thread)

Series (Special thread)

Baada ya kumaliza utumwa wa handmaids tale nikapakua kitu cha 12 monkey ya Mr Traveller,sasa napakua kitu Ophran Black na Dark matter naona nying nilizonazo wapo likizo,,wacha nitambae mpka September na Octobar zitakaporud the 100/designated Survivor,Blacklist,Super Girl..
 
Oh! Kukupa jibu sahihi nilitakiwa, mosi, kufahamu taste yako... pili, kufahamu umeangalia zipi na tatu kama unaulizia series ambazo ni new, ongoing au hata zilizoisha! Kwavile hujasema nitajibu vile navyoona mimi:
1. ONGOING:

-Political Drama: House of Cards... unaweza kuanzia hata season 4 lakini utaanzia mwanzo ndo mzuka zaidi!
-Legal Drama: Suits
-100% Spy Series: The Americans... hii ni my top series. Kama unapenda violences humo hutazikuta kwa sababu spies hawana violence! Kama kuua wanaua kimya kimya!
-Crime Drama: Power (2014)
-Musical Drama: Empire (2015) though some homesexuality stuff ndani yake ni very embarrassing!
-Action Drama: The Last Ship
-Medical Drama: Grey's Anatomy... sema hii ipo mbali mno!!!

-Unaweza kuongeza Homeland, The Blacklist, Fargo, Game of Thrones, Into the Badlands. Kama unapenda UFO stuff na uongo mwingine wa aina hiyo like the existence of Aliens, go to X-Files!

2. COMPLETED:

-Breaking Bad-- Best Series kupata kutokea
-The Wire

Asante sana.... naanza na hiyo Breaking Bad
 

Asante sana.... naanza na hiyo Breaking Bad
Welcome ukutane na Mr. Walter White, High School Chemistry Teacher ambae baada ya kugundulika ana lung cancer isiyotibika, akaamua kutumia elimu yake na kuanza kuzalisha high grade methamphetamine (drugs) ili apate pesa za kuiachia familia yake atakapofariki! Bila kutarajia, Walter White anabadilika from an ordinary man to a drug kingpin, money lover and cold blooded killer!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom