Series (Special thread)

Nzuri, niko season ya 2 now.
Naona umeamua ubadilishe avatar pengine hii itapunguza ban
Hahahaaaa!! Ile ilikuwa inawatoa watu kwenye mada, mtu badala achangie unasikia "lips zinanimaliza" mfyuuuu!!
Na mod kama hana huruma basi apige ban na mtoto.
 
Mkuu blindspot na shades of blue zinarudi lini?
Nusu ya kwanza ya Blindspot ni October mwishoni na hiyo nyingine unatakiwa kuwa mpole kwa sababu bado sana!!! Usisahau SoB imeisha juzi tu hapa na sio full season kama ilivyo Blindspot!!
 
Hizi series huwa napenda niangalie kitu kilicho complete.
Shida niliyo ipata kwenye Arrow,empire, walking dead na pb season five duh. Unaangalia ka episode kamoja unabaki na kihoro.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom