Pung'o boy
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 685
- 305
The 100, one of my best tv showsWakuu kwa yeyote mwenye kujua series yoyote za adventure isiwe,Merlin, viking,game of thrones,the seeker ,
The 100, one of my best tv showsWakuu kwa yeyote mwenye kujua series yoyote za adventure isiwe,Merlin, viking,game of thrones,the seeker ,
Dah mie the 100, nahis ni moja kat ya series zangu kaliUnakumbuka time after time na yenyewe ilianzaga kindezi...
The 100 sina mzuka nayo tena now days. Toka season one sijaichek tena
Niliipenda season 1 tu..ila Nina mpango wa kuendea kuichekDah mie the 100, nahis ni moja kat ya series zangu kali
Tumia eztv search gugo then chukua yenye eztv.agmwenye link ya kudownload series tafadhar sana mnitumie maana nimekuwa nilitumia bitdownload kwa sasa imegoma
Kuna mtu kanambia kuhusu last ship. Inahusu nn mkuu?Jaribuni kuangalia na last ship ambao hamjaichek maana mie nilipenda the idea, ni kali kinoma. Captain chandler
Kulitokea na virus break out dunian watu weng wakafa ikabak mel moja ambayo ilikua ipo Antarctica wanafanya research ya kuhusu hao virus na kupata tiba ile wanarud USA wanakuta dunia nzima ishakufa kwa virus wale wenye strong immunity ndio wakabak. Dunia ikawa haitawaliki serikal zimecollapse.... Sasa hapo ndio shughul ikaanza na wengine wakawa wanamtaka huyo Doctor alienda kufanya research labda kapata tiba.... Ni nzuri sanaa aisee unaweza jikuta unakesha usikuKuna mtu kanambia kuhusu last ship. Inahusu nn mkuu?
Mkuu kama una android gusa hii link dawnload app inaitwa terrarium TV.mwenye link ya kudownload series tafadhar sana mnitumie maana nimekuwa nilitumia bitdownload kwa sasa imegoma
Hans,Ina crush mpaka sina hamu nayo sijui kwanini etiii.imenibidi nirudi kwa showbox etiii wakati natamani TtvMkuu kama una android gusa hii link dawnload app inaitwa terrarium TV.
Terrarium TV - Free 1080p HD Movies and TV Shows Android App
Kisha ili I dawnload faster
Dawnload app hii
Download Accelerator Plus – Applications Android sur Google Play
Jinsi ya kufanya
1. Fungua terrarium tv kisha tafuta series yako kisha chagua episode.
2. Gusa ile alama ya play kwa chini kulia itakuja menu chagua open with...
3. Zitakuja app mbali mbali chagua hiyo app ya link ya pili ina alama ya kijani mpauko na neno DAP
4. Itakuja sehem ambayo ni optional.
Waweza jaza au usijaze vile vipengele,
5. Press start kisha subiri dk au sekunde kadhaa kulingana na kasi ya mtandao wako.
I will try itKulitokea na virus break out dunian watu weng wakafa ikabak mel moja ambayo ilikua ipo Antarctica wanafanya research ya kuhusu hao virus na kupata tiba ile wanarud USA wanakuta dunia nzima ishakufa kwa virus wale wenye strong immunity ndio wakabak. Dunia ikawa haitawaliki serikal zimecollapse.... Sasa hapo ndio shughul ikaanza na wengine wakawa wanamtaka huyo Doctor alienda kufanya research labda kapata tiba.... Ni nzuri sanaa aisee unaweza jikuta unakesha usiku
Ukiwa na baba kama yule lazma ujivunie.He is a leaderJaribuni kuangalia na last ship ambao hamjaichek maana mie nilipenda the idea, ni kali kinoma. Captain chandler
Naona wamegoma kuendeleza the last ship.Ukiwa na baba kama yule lazma ujivunie.He is a leader
Mkuu hata show box maelekezo ni hayo ukifika pale kwenye ku dawnload chagua option ya open with... Kisha tumia DAP labda kama kwenye hizo App hakuna series unazo taka.Hans,Ina crush mpaka sina hamu nayo sijui kwanini etiii.imenibidi nirudi kwa showbox etiii wakati natamani Ttv
Bado wiki tatu (max) kuanza msimu mwingine wa series unless kama hazipo kwenye list yako kv Suit, The Last Ship, Power, Game of Thrones!!!Series karibia zote nazoangalia zimeisha
Chicago pd
Chicago fire
Blacklist
Into the badlands
Training day
Blindspot
The 100
DS
PB
Yani leo nmerudi home naona usiku mrefu sana
Yah, lakini haijakuwa cancelled. Eric Dane a.k.a Captain Chandler alikuwa na personal issues kwahiyo ikasababisha production isimame kwa muda!!Naona wamegoma kuendeleza the last ship.
Ha ha ha ha mkuu naichek hata sasa hv,,ila inahitaj uymtulivu uielewe vzr,,ila nmeipenda sana12 Monkeys