Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kwani ulikuwa na mashaka nayo?! Basi kama mpenzi wa vitabu, tafuta na novel yake kabisa... Designated Survivor... you'll love it!!!

Ingawaje novel na series havijafanana moja kwa moja lakini storyline ni ile ile!!!
Wala sikuwahi itilia shaka. But series zangu zilinifanya nikose time ya kufatilia zingine, so nazofatilia zote ziko break Ndio nikajichagulia hii ili nisonge muda mean while nazisubiria zile zingine zitakapoendelea
 
Yah! Hapo nimekusoma kwa 100%!!! Duh! Halafu unajua ndo hivi sasa nagutuka kwamba leo ni June 23?! Huu ni msimu mpya wa series...!
 
Nipo... niambie series nzuri nicheki this long weekend
Oh! Kukupa jibu sahihi nilitakiwa, mosi, kufahamu taste yako... pili, kufahamu umeangalia zipi na tatu kama unaulizia series ambazo ni new, ongoing au hata zilizoisha! Kwavile hujasema nitajibu vile navyoona mimi:
1. ONGOING:

-Political Drama: House of Cards... unaweza kuanzia hata season 4 lakini ukianzia mwanzo ndo mzuka zaidi!
-Legal Drama: Suits
-100% Spy Series: The Americans... hii ni my top series. Kama unapenda violences humo hutazikuta kwa sababu spies hawana violence! Kama kuua wanaua kimya kimya!
-Crime Drama: Power (2014)
-Musical Drama: Empire (2015) though some homesexuality stuff ndani yake ni very embarrassing!
-Action Drama: The Last Ship
-Medical Drama: Grey's Anatomy... sema hii ipo mbali mno!!!

-Unaweza kuongeza Homeland, The Blacklist, Fargo, Game of Thrones, Into the Badlands. Kama unapenda UFO stuff na uongo mwingine wa aina hiyo like the existence of Aliens, go to X-Files!

2. COMPLETED:

-Breaking Bad-- Best Series kupata kutokea
-The Wire
 
Oh! Kukupa jibu sahihi nilitakiwa, mosi, kufahamu taste yako... pili, kufahamu umeangalia zipi na tatu kama unaulizia series ambazo ni new, ongoing au hata zilizoisha! Kwavile hujasema nitajibu vile navyoona mimi:
1. ONGOING:
-Political Drama: House of Cards... unaweza kuanzia hata season 4.
-Legal Drama: Suits
-100% Spy Series: The Americans... hii ni my top series. Kama unapenda violences humo hutazikuta kwa sababu spies hawana violence! Kama kuua wanauua kimya kimya!
-Crime Drama: Power (2014)
-Musical Drama: Empire (2015) though some homesexuality stuff ndani yake ni very embarrassing!
-Action Drama: The Last Ship
-Medical Drama: Grey's Anatomy... sema hii ipo mbali mno!!!
-Unaweza kuongeza Homeland, The Blacklist, Fargo, Game of Thrones, Into the Badlands

2. COMPLETED:
-Breaking Bad-- One of Best Series kuwahi kutokea
-The Wire
Umesahau better call saul na fargo.. (best of the best)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom