Series (Special thread)

Series (Special thread)

Quantico
The Originals
The 100
Marvel Iron fist
The Blacklist
The blacklist redemption
The flash
Tomorrow people
Legends of tomorrow
Gotham
Macgyver
Lethal weapon
Scorpion
Game of thrones
Shooter
Under the domes
Falling skies

Na zakikorea pia

Kma upo dsm,,tafuta external hdd iwe na free space kma ya 100 gb,,,ntakuwekea vitu vya ukweli,,hutojuta...

Kwa Tsh.50,000/= Tu.

Ni dm kma ukihitaji
Naomba nmb yako tuwasiliane, nahitaji series za nchi kama India , Philippines , Korea, China etc.
 
Anyway, umejibu kama nilivyohitaji! In short, nilikuwa nasubiria hadi season 2 zikamilike ndipo nianze kuziangalia! Suala la kuangalia episode moja halafu nabaki na hamu wiki mzima huwa naona mateso sana!! Hapa najilaumu nilikiuka utaratibu wangu kwenye Prison Break!
Mie Prison Break nimeiweka Prison kwanza mpk ziwe nyingi nyingi
 
Na usithubutu kuiangalia hata episode moja manake ukifanya hivyo tu, na vile ilivyoanza kwa bang! There's no way unaweza kuvumilia usiangalie na episodes zinazofuata!
 
Mamii hiyo scorpion inahusu nini?
Scorpion ni team geniuses wako wa4 lakini wanakutana na watu wa kawaida ambayo mdada mmoja Paige mwanae ni genius so wanamsaidia peige amwelewe mwanae,then Paige anawasaidia wao wawaelewe watu wa kawaida na watu wawaelewe Hapo genius.pia yupo wa kawaida mwingine Cabe ambae ni FBI agent,anawasaidia kwenye mission hatari kwa usalama wao. Hapo geniuses kuna machenics,behaviourist,human calculator na mkuu wao alieact as Walter mwenyewe Ndio ana IQ kuwazidi wengine. based on life of Walter O'Brien ambae ilikuwa na IQ Kubwa sana ya kutatua mambo mbalimbali na kusaidia jamii nzima. Ni nzuri sana espy mie inanitia uchizi kwa kweli.
 
Human calculator,,wanajua wale jamaa balaaa,wanajua kufix tatizo chini ya muda usiotarajiwa,niliipenda japo nadhan kama wapo break
 
Season 3 imeisha. Tuna subiri season 4. Yaani series nyingi ziko break for season inayokuja. Blindspot and Quantico tuna subiri season 3
 
Scorpion ni team geniuses wako wa4 lakini wanakutana na watu wa kawaida ambayo mdada mmoja Paige mwanae ni genius so wanamsaidia peige amwelewe mwanae,then Paige anawasaidia wao wawaelewe watu wa kawaida na watu wawaelewe Hapo genius.pia yupo wa kawaida mwingine Cabe ambae ni FBI agent,anawasaidia kwenye mission hatari kwa usalama wao. Hapo geniuses kuna machenics,behaviourist,human calculator na mkuu wao alieact as Walter mwenyewe Ndio ana IQ kuwazidi wengine. based on life of Walter O'Brien ambae ilikuwa na IQ Kubwa sana ya kutatua mambo mbalimbali na kusaidia jamii nzima. Ni nzuri sana espy mie inanitia uchizi kwa kweli.
Niliicheki kidogo tu mwanzoni haikunivutia, ngoja nitaicheki tena.
 
Na usithubutu kuiangalia hata episode moja manake ukifanya hivyo tu, na vile ilivyoanza kwa bang! There's no way unaweza kuvumilia usiangalie na episodes zinazofuata!
Kwa tunao iangalia tupo kwenye kihoro acha tuuuu.
Sijui ile risasi katandikwa michael ama vipi, huku nje napo kaka yake kamiminiwa risasi za kutosha...
Jumanne huwa naionaa mbaliiii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom