Bobbyray
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 1,378
- 1,781
We jaribu tu kidogo na Designated survivor halafu ulete mrejesho.Ha ha h h ha.. Hujani convince bado. Hivo ninavocheck ni habari nyingine kabisa aiseee.
We jaribu tu kidogo na Designated survivor halafu ulete mrejesho.Ha ha h h ha.. Hujani convince bado. Hivo ninavocheck ni habari nyingine kabisa aiseee.
Mnh! Kumbe we mwananchi upo?!! Au kwavile siku hizi nimehama mtaa wa Celebrities ndo maana sikuoni hapa!!!!Iam watching Designated survivor... hatare.. I can't sleep mpaka iishe
Wametia mambo ya Wanaume kulaliana.Ushuzi ushuzi tu..Ngoja tuwait madude ya ukweliAmerican gods sijaipenda kbs...wanaipa promo tu
The BlacklistHabari zenu waungwana, ni series gani nzuri na ambayo imechangamka kama Into the badland?
Pamoja mkuuThe Blacklist
![]()
Asee nmeiangalia.. NIMEIPENDA! Yaani nmeangalia episode mbili tu..! Na nmeshaizimikia..Mbayaaaaa sikushauri....

Haya. Keep movingAsee nmeiangalia.. NIMEIPENDA! Yaani nmeangalia episode mbili tu..! Na nmeshaizimikia..
Sijui kwann ulisema kuwa ni mbaya..! But mi nmeizimikia kwa kweli..![]()
![]()
![]()
Hizo zote mbili ni nzuri mnooo mama.Mi nimeifuta leo, ina crush down kila saa. Sitazami tena series ni mwendo wa kucrush down. Nimeifuta leo.
Nabaki na showbox yangu, ninataka kuanza series moya either designated survivor au last ship leo.. Ninaambiwa ni nzuri sana
Ni nzuri sana.Iam watching Designated survivor... hatare.. I can't sleep mpaka iishe
Nimeanza na designated survivorHizo zote mbili ni nzuri mnooo mama.
Dah!! Wewe hii ndo uta-enjoy sasa! Series ukiipiga non-stop ndo una-enjoy zaidi kuliko haya mambo ya kusubiria wiki mzima kusubiria epsode moja!!!Nimeanza na designated survivor
Iko poa sana mama, enjoy.Nimeanza na designated survivor
Dah.. Hii mi nshairudi zaid ya mara 10 na kila nikiirudia naiona mpya...Mimi nairudia LOST
Ban tena. Espy!!!!Iko poa sana mama, enjoy.
Dah!! Wewe hii ndo uta-enjoy sasa! Series ukiipiga non-stop ndo una-enjoy zaidi kuliko haya mambo ya kusubiria wiki mzima kusubiria epsode moja!!!
Yaani niko addicted as other series, nishakata episode 12 mpaka sasa nalala. Kesho tena hii.Dah!! Wewe hii ndo uta-enjoy sasa! Series ukiipiga non-stop ndo una-enjoy zaidi kuliko haya mambo ya kusubiria wiki mzima kusubiria epsode moja!!!
Kwani ulikuwa na mashaka nayo?! Basi kama mpenzi wa vitabu, tafuta na novel yake kabisa... Designated Survivor... you'll love it!!!Yaani niko addicted as other series, nishakata episode 12 mpaka sasa nalala. Kesho tena hii.
Nimeikubali